Recent content by kichaamuerevu

  1. kichaamuerevu

    JamiiForums Tanzania NAKUMATT Supermarket yafungua branch Dar

    Yaap mkuu wamefungua branch mbili... Na moja arusha ukiachana na ya kwanza kufunguliwa ya moshi
  2. kichaamuerevu

    JamiiForums Tanzania Mademu mbona mkipiga picha mnabinua makalio?

    Wamejaaliwa saana
  3. kichaamuerevu

    JamiiForums Tanzania Ukawa Wapo Moshi... Kikao chataka kuanza... Karibu

    Helkopta ndio inafika... Muda si mrefu kikao kitaanza
  4. kichaamuerevu

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama naota vile

    Navyojua ku date aaaahg kesha ** taariiii huyo.... Hapo hamna mke!!
  5. kichaamuerevu

    JamiiForums Tanzania Mume wa mtu huyu mbona haniachi jamani?

    We tulia tuu kama umeshindwa kumuacha tindikali itakuusu tutaona kama hutamuacha!!
  6. kichaamuerevu

    JamiiForums Tanzania hi !!!!!!!!!!!!!!

    Karibu kwa vichaa waerevu...
  7. kichaamuerevu

    JamiiForums Tanzania Asante Vodacom Kwa Kunifanya Niwagundue BABA LAO!

    Hahahaaaa.. Hamieni tigo.
  8. kichaamuerevu

    JamiiForums Tanzania Trafiki wa kike na vimini

    wengine ni kama mama zetu hawana adabu hawa maofisaa wa usalama barabaran...... mi wananiboa kwel
  9. kichaamuerevu

    JamiiForums Tanzania Heko Sam Mahela; mtangazaji wa television anayekuja kwa kasi nchini!

    Yeah... Namkubal... Akaze buti amkute kijana wa jicho pevu Wa kenya
  10. kichaamuerevu

    JamiiForums Tanzania Ponda hali mbaya

    ulaaniwe unaemuombea mwwnzio kifo
  11. kichaamuerevu

    JamiiForums Tanzania Ponda hali mbaya

    Hivi ww ni binadamu mwenyeakili timamu kwel.. mbona sisi vichaa hatufikirii kama wewe?? Ulaaniwe unaemuombea mwingine kifo
  12. kichaamuerevu

    JamiiForums Tanzania Eti jeneza la huyu linafunguliwa kwa rimoti

    Weeeeeh.. Nan magaidi. swetwan wewe
  13. kichaamuerevu

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya KILENGA ni ya mkubwa gani hapa Tanzania?

    Ndugu huyo mtu msikie tuu... magari yake yote yamechorwa picha ya mganga wa kienyeji kwa nyuma.. Huyu mtu hata hapa commet zako chunga zisimchafue roho yake mana mhhhh.. shauri yako..!!!
  14. kichaamuerevu

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Maarufu wa Tanzanite, Erasto Msuya apigwa Risasi na kufariki papo hapo!

    Tajiri maarufu mirerani na arusha maarufu kwa jina la erasto ameuliwa leo alasiri na watu wanaodhaniwa ni majambazi na kutokomea kusikojulikana.. Tukio hilo limetokea maeneo ya kia njia ya kwenda mirerani ambapo bw erasto akiwa kwenye gari lake aina ya ranger rover ndogo new model alipigwa...
Back
Top Bottom