jeshi lolote duniani lina sheria na taratibu zake ktk mavazi.
Hawaruhusiwi kuvaa vimini ila tatizo ni usimamizi mbovu.
ukiona sketi mbele ndefu nyuma fupi; ni makosa ya kiufundi tu.Hii imemekua kama ni hali ya kawaida au labda ndio utaratubu sare za trafiki ..kina dada wengi matrafiki wanavaa skirt either kwa mbele ziefunika magoti lakini unakuta kwa uoande wa nyuma imenyanyuka na kuacha seheme kubwa ya nyuma wazi ..kupanda kutoka kwnye magoti .. na wengi wao huvaa fupi kabisa (KIMINI).. kama hutaki kuamini ..kama upo barabarani karibu na trafick jaribu kumuangalia tu utaona haya nnayoyasema .
jaribuni kubadilika na tambueni kuwa nyie wa kuigwa na jamii kwa kutenda yaliyo mema .. .
police police na vimini nitaanza kuangalia nione ....!
mkuu umetahhiriwa ukubwani nini!umejuajeUmesahau na manesi! halafu
ndo ukute anakusafisha baada ya kutahiriwa ukubwani,unaweza ukaria
maumivu utakayopata!
Kuna siku mmoja alinisababishia Ajali.
Umesahau na manesi! halafu ndo ukute anakusafisha baada ya kutahiriwa ukubwani,unaweza ukaria maumivu utakayopata!
Akiwa na shepu hata avaeje mtasema kavaa vibaya.
... and the vice versa !
Hii imemekua kama ni hali ya kawaida au labda ndio utaratubu sare za trafiki ..kina dada wengi matrafiki wanavaa skirt either kwa mbele ziefunika magoti lakini unakuta kwa uoande wa nyuma imenyanyuka na kuacha seheme kubwa ya nyuma wazi ..kupanda kutoka kwnye magoti .. na wengi wao huvaa fupi kabisa (KIMINI).. kama hutaki kuamini ..kama upo barabarani karibu na trafick jaribu kumuangalia tu utaona haya nnayoyasema .
jaribuni kubadilika na tambueni kuwa nyie wa kuigwa na jamii kwa kutenda yaliyo mema .. .
wewe ni mwanamke?Napenda vimini.
Weka picha mkuu