Asante Vodacom Kwa Kunifanya Niwagundue BABA LAO!

Asante Vodacom Kwa Kunifanya Niwagundue BABA LAO!

Mbona unataka kuwa kama Pinda kutaja mawaziri waliopigwa chini huku yeye akijiona bomba. Na wewe shipa tu.

...mkuu Ng'wanapagi sidhani kama ulikuwa na sababu ya kutoa maneno yasiyo faa...niliQOUTE bandiko lako as a jokes lakini nashangaa tunaanza kuitana majina ya hajabu...shipa ndo nini?...
 
Last edited by a moderator:
acha umbea hilo neno lina viwango vyote vya kutumika humu jf ila mods wasijue.

Katavi
...mkuu wewe ni mmoja ya watu naopenda sana kusoma mabadiko yao hapa jamvini lakini hilo hapo juu siamini kama ni wewe umeandika...rudi kwenye post yangu uisome tena halafu uniambia umbea wangu uko ni upi...
 
Last edited by a moderator:
asante ngoja na mi nihamie airtel, Voda na tigo nikichefuchefu huduma za ovyo wizi mwingi, unaweza jiunga voda net isiwepo kabisa wizi mtupu. na hawa akina January Makamba ni mzigo ni vipi wanaruhusu uhalifu huu hawaoni huruma kwa wananchi wao au ndo wako bize kusaka URAHISI maana URAHISI sasa unawezakusakwa na mtu yeyote hata kama ni taahira.
 
Kama hulipwi na Airtel inabidi waanze kukulipa maana umenifanya nikajipatie line ya Airtel nijaribu uliyoyaandika.
Silipwi chochote mtu wangu FaizaFoxy! Mimi ni kama wewe tu:Raia wa kawaida anayekerwa na huduma mbovu na kufurahishwa na ubunifu wa watoa huduma.Wala sina ndugu anayefanya kazi airtel. Kama umeshanunua line ya airtel, hakikisha una salio, kisha piga namba hii;*149*99# uchague raha zilizoorodheshwa!
 
Last edited by a moderator:
Katavi
...mkuu wewe ni mmoja ya watu naopenda sana kusoma mabadiko yao hapa jamvini lakini hilo hapo juu siamini kama ni wewe umeandika...rudi kwenye post yangu uisome tena halafu uniambia umbea wangu uko ni upi...
Sorry mkuu Sabung'ori kwa kukukwaza.........!!
 
Last edited by a moderator:
Vodacom wanakera na sijui ni nani anayewapa kiburi cha kunyanyasa wananchi katika nchi yao. Ni mabaradhuli, vibaka na wezi wa mchana kweupeee! Ukiwa Vodacom usiache kabisa salio kwenye simu asubuhi utakuta wameshakomba! Vibaka wakubwa hawa.
Binafsi nilikuwa na laini zaidi ya kumi, yaani mimi na kwenye mitandao ya biashara zangu ambapo wote tulitumia mtandao huo kuwasiliana lakini nimehama na kuwahamisha wote kutokana na tabia yao wa.she.nzi wasio na haya wala soni hawa. Sasa niko Airtel ambao pamoja na mapungufu machache nawaona poa.
Bila shaka uwepo wa viongozi kama wadau wa kampuni hii kama wenye hisa kunaifanya kampuni hii kuwa na kiburi ilicho nacho. Uwepo wa kina Lowassa na "rafiki" zake kunalisababishia taifa hasara kubwa mno kwani wahuni hawa hawalipi hata kodi.
VODA ni kampuni ya watu wenye mtandao ktk chama xxx ambapo mwenzao wanamtafutia pesa ili awe rais 2015. Wanaenda makanisani, miskitini, bodaboda, nk. Iwe halali au haramu wamedhamilia kututawala. Mafisadi wa kutupwa.
 
Back
Top Bottom