Asante miss neddy mi naomba tu unirudishie ile iphone yangu, full stop
Dada yake nipo hapa, wifi kumbe kaka yangu akiwa busy na shughuli zake nawe wachepuka tena mwingine kizee hivyo hahahahaa
wiiiiiii jamani huyu babu hata simjui naona ananing'ang'ania ka katiba mpya lol
Darling usijali....nishamzoa huyu babu....halafu unajua Asprin....ntakurudia
Kwan ww ni mkurya?
utafitiiiiiiiiiiii na wewe unakiamini hiki kibabu kilichonusurika mafuriko ya jangwani. ila uongo mbaya nakipenda na natamani sana kikojoleo chake lol
Kama umeshagharamia sana, naweza kukuruhusu uwe mme mwenza kwa wiki mbili tu afu umuwache miaka mia miss neddy wangu apumuwe.
Nimeshakwambia sichezi tena na wewe.
..Kama umeshagharamia sana, naweza kukuruhusu uwe mme mwenza kwa wiki mbili tu afu umuwache miaka mia miss neddy wangu apumuwe.
Ndio baba mkwe kwani mtoto wenu hakuwaambia? But nimemix ila ni mkurya.
Heshima yako baba mkwe Kaizer
Huko utateseka kuchezea sugua gaga lazma uwe nalo
we nenda villa park tu kanengue...
Usiseme kwa sauti watu watajinyónga kwa wivu bure.