Recent content by Kibstec

  1. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli 'amrushia madongo' aliyesema atashtakiwa sakata la mchanga

    Rais wa nchi unatakiwa UJIAMINI na KUSIMAMIA kile ULICHOKIANZISHA KWA MASLAHI YA WATANZANIA....Na hiki ndio ninachokiona kwa MAGUFULI......serious we have a president
  2. K

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai anaweza kushitakiwa Mahakamani ?

    Hao majaji wawe wazalendo kwa ajili ya MDEE NA ESTER???????mabinti wasio jitambua na wasio na maadili kabsa....afadhali ungesema MNYIKA.....
  3. K

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai anaweza kushitakiwa Mahakamani ?

    MKUU EBU TOA HIYO ID FAKE YAKO...afu ndio uhimize hicho unacho wadanganya wenzio.......WENZIO WANAOGOPA KUFANYA UNACHO WADANGANYA MAANA WANA REAL IDENTITY.....sasa wewe upo shimoni unawadanganya wenzio
  4. K

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Wabunge Ester Bulaya na Halima Mdee Wafungiwa Vikao vya Bunge kwa mwaka mzima

    WATALITUMIKIAJE JIMBO ILI HALI HAUNA MAHUSIANO NA SERIKALI BY THE MOMENT??????
  5. K

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Wabunge Ester Bulaya na Halima Mdee Wafungiwa Vikao vya Bunge kwa mwaka mzima

    NDIO WAKOME.......na hii wamejichinja wenyewe...HAKUNA MTU WA KUWARUDISHA BUNGENI 2020.......Honest HALIMA MDEE hana maadili kabsa na kamwambukiza tabia za ajabu ESTER BULAYA....yaani utafikiri ni mabinti ambao hawakulelewa na WAZAZI WA KIKE,,,,,ni aibu sana Yaani HALIMA MDEE anajaribu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Karume, Asha Abeid Amani Karume ajiunga CUF

    Hivi mnaifahamu CCM vizuri nyie??????........SHAURI ZENU........
  7. K

    JamiiForums Tanzania The way it's.

    Noel C shao JINA TU INASADIFU ANDIKO LAKO......Tangu lini mchagga akaitakia Mema NCHI hii??nyie mnapenda sana kujigawia wenyenyewe keki ya TAIFA......
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna mpinzani atakayekanyaga kwenye serikali yangu

    Hapa mnashindwa kumuelewa vizuri RAIS magufuli.......ALikuwa ana maanaisha WAPINZANI wasio jielewa(HAPA UPINZANI USIOJIELEWA UNAJULIKANA) ndio kamwe hawezi kuingia kwenye SERIKALI YAKE..........ndio maana mpaka sasa kaegemea upande wa watu wanaojielewa ACT......Ni lini mmesikia HUYO MAMA WA ACT...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Siwezi kumuunga mkono Magufuli, au mvunja sheria mwingine yeyote yule

    Mkuu ebu acha kujipandisha chati kabsa.......Hauna lolote la kutuambia tukuone wewe ni mpigania USAWA kwenye nchi hii....UTAPIGANIAJE USAWA UMEJIFICHA SHIMONI????
  10. K

    JamiiForums Tanzania Siwezi kumuunga mkono Magufuli, au mvunja sheria mwingine yeyote yule

    hivi kweli hili suala mmeshindwa kuwauliza viongozi wenu huko???????WAKATI MWINGNE INASIKITISHA SANA jinsi ambavyo CHADEMA wanalipa hili suala uzito wake........
  11. K

    JamiiForums Tanzania Siwezi kumuunga mkono Magufuli, au mvunja sheria mwingine yeyote yule

    Tatzo lako una ongea sana ili hali hata hayo MACHUNGU unayo yasemea HAUYAJUI yakoje.....huu ndio tunaita UNAFIKI.....rudi hapa nchini UPIGANIE HAKI UNAYOISEMEA......KWELI TUTAAMINI UNAMAANISHA USEMACHO wewe hata usipo muunga mkono RAIS wetu haupunguzui wala kuongeza chochote......
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyatta aahidi elimu bure Kenya

    ugumu wake nini?????mbna watoto hapa TANZANIA wanasoma vizuri tu????? TATZO LENU MNSTAKA KUSIKIA MABAYA TU JUU ELIMU BURE......na hili msahau kabsa
  13. K

    JamiiForums Tanzania Marekani yasema hawajabadili maamuzi yao suala la uchaguzi Zanzibar

    Aiseeeh.......Huyo wanaemtaka atawale ni kwa ajili ya matakwa ya U.S.A au kwa ajili ya matakwa ya WAZANZIBAR??? Kama ni ajili kwa matakwa ya wazanzibar MBNA HAO WAZANZIBAR wapo kimya mpaka sasa hawaaandamani kuingia barabarani kudai HAKI YAO??? ukimya wao ni kithibitisho tosha ya kuwa ALIYEPO...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ni gharama kubwa kuwa na Mwanasheria mzuri asiye na uzalendo

    Ila twende na ukweli LISSU anakosea sana kujifanya yupo mstari wa mbele wa kuangalia HASARA NA SI FAIDA kwa ajili ya vizazi vijavyo.......na hii ni rahisi sana kwa LISSU kutumiwa na hawa VIBARAKA wenye maslahi yao kwenye hili kutuletea matatizo nchini kwa kuhamsha TAHARUKI kama wafanyavyo sasa
  15. K

    JamiiForums Tanzania Gwajima kwa hili la Mchanga- Asante!

    Sababu kubwa ambayo wengi wenu humu mmeshindwa kuitambua kwanini WAPINZANI kwa sasa wamebadili tena gia ANGANI....ni hii hapa.... HIVI mnatambua Nchi ya CANADA kupitia balozi wao hapa nchini ni wafadhili wakubwa wa CHADEMA????....sasa kwa akili ndogo unategemea LISSU akae kimya pale anapoona...
Back
Top Bottom