Marekani yasema hawajabadili maamuzi yao suala la uchaguzi Zanzibar

IMG_20170529_152239_049.jpg
 
Aiseeeh.......Huyo wanaemtaka atawale ni kwa ajili ya matakwa ya U.S.A au kwa ajili ya matakwa ya WAZANZIBAR???
Kama ni ajili kwa matakwa ya wazanzibar MBNA HAO WAZANZIBAR wapo kimya mpaka sasa hawaaandamani kuingia barabarani kudai HAKI YAO??? ukimya wao ni kithibitisho tosha ya kuwa ALIYEPO MADARAKANI KWA SASA ndiye waliokuwa wakimhuitaji.....
Kwa upande wangu nathubutu kusema kabsa huyo wanaemtaka atawale zanzibar ni kwa ajili ya MATAKWA YAO HAO U.S.A NA SI WAZANZIBAR ndio maana wao wapo mstari wa mbele kweli kulizungnumzia hili kuzidi hata waliopiga kura........EBU WATUACHE WASITAKE KUTULETEA MACHAFUKO NCHINI KWETU....
 
Hawamtaki mtu,,acha kupotosha,,wanataka alieshinda apewe ushindi wake,,,kwa vigezo
 
Aiseeeh.......Huyo wanaemtaka atawale ni kwa ajili ya matakwa ya U.S.A au kwa ajili ya matakwa ya WAZANZIBAR???
Kama ni ajili kwa matakwa ya wazanzibar MBNA HAO WAZANZIBAR wapo kimya mpaka sasa hawaaandamani kuingia barabarani kudai HAKI YAO??? ukimya wao ni kithibitisho tosha ya kuwa ALIYEPO MADARAKANI KWA SASA ndiye waliokuwa wakimhuitaji.....
Kwa upande wangu nathubutu kusema kabsa huyo wanaemtaka atawale zanzibar ni kwa ajili ya MATAKWA YAO HAO U.S.A NA SI WAZANZIBAR ndio maana wao wapo mstari wa mbele kweli kulizungnumzia hili kuzidi hata waliopiga kura........EBU WATUACHE WASITAKE KUTULETEA MACHAFUKO NCHINI KWETU....
Kwahiyo watu kukaa kimya wameridhika?? Hvi kwa kagame kuna maandamano?? Museveni je kuna maandamano??? Kinshasa je kuna maandamano kumpinga kabila??? Nani aliyekwambia ukimya wa mtu ndio kuridhika??? Au mpaka watu wajitoe muhanga ndio mseme wamenuna kweli??? Ushamskia seif ameitisha maandamano wazanzibar wakakataa kuenda barabarani?? Na juzi hapa shein anatoka kamasi kuwa kuna mgawanyiko zenji hadi watu wanachomeana mashamb na nyavu za kuvulia samaki au ile ya kunyanyapaliwa kwenye boti na usafiri wa barabarani kma wwe ni wa itikadi tofauti hukuyasikia!!! Kususiana migajahawa je hadi balozi eid akaomba viongozi wa dini waingilie kati umesahau??

Anyway maisha kuendelea haimainishi watu wameridhika huenda wameamua kumuachia Mungu hivyo dont dare them coz wakianza uhuni kma wa somalia au tusiende mbali kma wa kibiti tu itakuwa too late nyie kuanza kuongea hizi kejeli
 
Wasimamie kuapishwa kwa Maalim Seif ili kunusuru dhiki nchini Zanzibar , hali ni mbaya sana .
 
Kwa nn waafrica bado wazungu wanatutawala hadi ki psychologia?? mpaka sasa bado tunaamini hadi maamuzi tufanyiwe na wazungu??
Sio wazungu ni WAANGALIZI WA UCHAGUZI !! Kumbuka hao wanawapa misaada na kigezo cha kwanza ni utawala bora hivyo lazma waje kuobserve uchaguzi wenu kuona kma mna utawala bora maana hawawezi kufadhili tu hku hawajui pesa zao zinaangukia mikononi kwa madikteta kma saddam au gadaffi!!!!

Ila hta waangalizi kutoka umoja wa afrika kwa sauti moja walidai uchaguzi wa zenji ulikuwa huru na haki na haukuwa na makosa yoyote makubwa ya kufanta uchaguzi ufutwe ssa sioni kwanni mnawatukana wazungu humu wakati misaada mnaendaga kuwapigia magoti..... yaani pesa zao mnataka hadi ssa wamewapa trilion sio chini ya 50! Afu eti hamtaki wawakague??? Ccm bhana
 
Sasa Inasaidia nini? Wanajua kama Chadema wakishachapwa Kwenye chaguzi wanasema hawamtambui Rais haijawahi Kutusaidia hata siku Moja
Troll JF hivi taarifa hii inaingiliana vp na mahojiano na kaimu balozi??? Yaani wwe kila kitu ni siasa tu yaani in everythin wwe ni chadema vs CCM!!!!!

Anyway chadema husema ivo ili historia iwe very clear kuwa hawakukubalia matokeo maana huko mbeleni mnaweza sema chaguzi huwa ni huru na haki ila wakiona wapinzani waliyagomea historia itabaki hivo kuwa ccm mnarudigi ikulu kwa njia za udanganyifu...... itatusaidia kuendeleza harakati za mabadiliko kwenye katiba na utawala bora kwa makamanda wa kipindi hicho
 
Maamuzi yao yanasaidia nini wakati shein bado rais na maisha yanaenda, miaka inaenda?!
Mkuu kasome majukumu ya waangalizi wa uchaguzi!!! Au ulitaka walete jeshi ndio muomanze kusema humu kuwa wanaingilia uhuru wenu!!!!

Anyway inasaidia nni?? Hujui kuna package za misaada za zaidi ya trilion 1 mnazoombaga wanawapa kila mwaka ila kwa ssa hampati tena hivyo hujui kesho na keshokutwa vikwazo gani vitaongezwa!!!
 
Back
Top Bottom