Mtoto wa Karume, Asha Abeid Amani Karume ajiunga CUF

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,786
Mtoto wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Asha Abeid Amani Karume amejiunga na Chama Cha Wananchi-CUF na kukutana na Katibu Mkuu Self Sharrif Hamad.

DBgA3AyXcAAbj9o.jpg
 
Tunaomba tuone na usajili wa Prof Lipumba naye..

Ushauri kwa Cuf Maalim: achaneni na bara huku, huku unafiki ni sehemu ya maisha, pambane muikomboe Zanzibar kwa mkoloni.
Sheria za nchi haziruhusu, lazima wawe na uwakilish nchi nzima
Btw, wanaweza ku fix kila kitu kupitia UKAWA
 
Wazanzibari wameamua kuikomboa nchi yao, wameweka tofauti zao pembeni sasa wanaanza kuwa kitu kimoja, hongera wazanzibari
 
Wapemba wanajisumbua tu hata iweje CUF haiwezi kutawala Zanzibar na Watanganyika tutaendelea kuwatawala wapende wasipende
 
Hongera, Lipumba huko anavuta kasi ya kuzuia kadi za cuf zisipewe kwa wanachama wapya..
 
Back
Top Bottom