Zito ni ccm alikuaj kuvuruga CDM akakwamaTrue!
Ila tusubir tamko la Zito kuhusu uteuzi huu wa Anna Mghwira
Huyu jamaa ni shida:
1.Nikitoka chato nitatoa salary slip yangu
2.Hakuna nchi inayojengea wahanga nyumba
3.Hii ni mara ya kwanza Tz kutembelewa na Rais wa World bank
4.Serikali yangu sitateua mpinzani
Uliambiwa hayo maneno au msahafu?Sioni kama kakosea kwa kweli.
Hapa mnashindwa kumuelewa vizuri RAIS magufuli.......ALikuwa ana maanaisha WAPINZANI wasio jielewa(HAPA UPINZANI USIOJIELEWA UNAJULIKANA) ndio kamwe hawezi kuingia kwenye SERIKALI YAKE..........
Ndo umeelewa leo Mkuu... Basi akili yako itakuwa nzito sana.Sasa nimeelewa kwanini cdm walimfukuza zitto.
Mbona unaongea kinyume chake?! upinzani unaojiheshimu hauwezi kukubali kuelekezwa jinsi ya kufanya kazi zake.Hapa mnashindwa kumuelewa vizuri RAIS magufuli.......ALikuwa ana maanaisha WAPINZANI wasio jielewa(HAPA UPINZANI USIOJIELEWA UNAJULIKANA) ndio kamwe hawezi kuingia kwenye SERIKALI YAKE..........ndio maana mpaka sasa kaegemea upande wa watu wanaojielewa......Ni lini mmesikia HUYO MAMA WA ACT au KITILA wakihamaisisha UVUNJIFU WA AMANI??????
Zito ni ccm alikuaj kuvuruga CDM akakwama
Ahakikishe anakujibu bila Kujilazimisha....Kwa mtazamo wako na ulichoandika, nini maana ya kujielewa??
Kukosea hakukosea lakini kwanini utoe kauli za kukurupuka? Ni kutafakari kwa kina kabla hujatoa kauli ili usije kuzikimbia kauli zako moja baada ya nyingine. Na kadri zinavyokuwa nyingi ndiyo credibility na reputation zinatetereka.