Magufuli 'amrushia madongo' aliyesema atashtakiwa sakata la mchanga

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Magufuli amesema kuna wapinzani wanapinga tu na wanapopinga wana information zao nyingi ila anawahifadhi tu.

Amesema wapo wanaotafuta data wanahangaika weee na kutuma meseji kwa wale anaowatafuta data na kusema eti atashtakiwa, mtu akiwa mwanasheria ataogopa kushtakiwa? Kisha akacheka kwa dharau na kusema subiri siku atakayopokea ripoti ya pili.



Tundu Lissu alisema Magufuli atashtakiwa juu ya sakata la mchanga
 
Back
Top Bottom