Recent content by Kibongoto

  1. K

    JamiiForums Tanzania Askari ajitoa uhai kwa kuupoteza msafara wa Kikwete Tarime!!!

    Kwenye nyekundu hapo: Unajuaje kama hiyo SMG ilikunjwa au ni ile yenye kitako kifupi?? Inaonekana unafanya vitu under assumption zaidi. Sina nia ya kukupinga ila ingependeza kama kungekua na ukweli kuhusu SMG iliyotumika. Ni kweli ilikunjwa? Una uhakika? Uliiona au uliambiwa? Please thibitisha...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hey, Guys.....!!!!!!

    the importance of listening.
  3. K

    JamiiForums Tanzania YoYo Afunga ndoa

    Bwana Harusi kula tano kwa mikao hiyo!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Vyakula vinavyoongeza uwezo katika tendo la ndoa

    try valuu then
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ukisikia wenye fwedha wamekupora mke usilalamike.

    Mbona huku Tanga wapo wengi sana wa design kama hiyo mkuu? Tushawazowea wala moyo haudundi.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Wazee wanaopenda kusoma barua za mabinti zao

    creativity and innovation at malavidavi, hahaha
  7. K

    JamiiForums Tanzania Aliyepewa Kapewa...

    Hili vazi mbona mitego mtupu!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji: Mchungezeni mrembo Richa Adhia

    And what is the difference between nationality and citizenship? You might confuse other people here as well. Respect!
  9. K

    JamiiForums Tanzania The best.....enzi za form two hizo

    hahaha Bek benchaz walikua wanajiona magangwe kuliko wote darasani. Umenikumbusha jamaa mmoja alikua mfupi kuliko wote darasani kwetu ila alikua anapenda sana kuwa miongoni mwa bek benchaz.
  10. K

    JamiiForums Tanzania The best.....enzi za form two hizo

    Hehehe!! Inawezekana enzi hizo na wazee tulikuwemo bado hatujamaliza. Akina John Mnyika ndio O'level,shughuli mtupu!
  11. K

    JamiiForums Tanzania The best.....enzi za form two hizo

    Hahaha.. usinikumbushe Kibosho Girls aisee. Unajua wale wadada walikua na tabia nzuri sana. Mkimaliza debate pale wanaweka viburudisho. Wengine wanacheza music wakiigiza kama wanaume,nakumbuka mmoja alijipaka masizi kidevuni. Last time nakumbuka waliimba music wa Boys II men. Wengi wao...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke gani mashuhuri kuukwaa U-DC baada ya uchaguzi 2010?

    Kwenye red hapo mkuu. Why Kilombero? Kwanini isiwe Temeke/ilala/mbozi/mbinga/newala/ilemela/bunda?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Umesoma chuo kikuu gani? Kama hakipo hapa umeliwa!

    Utaanzisha hoja ya best university humu ndani sasa mkuu. Mdau wa Hall VI.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tunampenda Deo Filikunjombe Ludewa (CCM)

    Si yule aliekua askari polisi au? Kama ni hivi basi itapendeza mapolisi nao kutoa wagombea ubunge,mwe!!!. Tumezowea wahadhiri tu kila kukicha. Prof. Mwalyosi,Prof.Mungai,Prof. Msola, sasa waache wana Iringa wapate afande Deo(sijui tu kama anacheo gani sasa). Otherwise big up man!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tunampenda Deo Filikunjombe Ludewa (CCM)

    Go Filikunjombe go...utaupata tu. Tunataka watu kama nyie mwaka huu,wembe ni uleule Ushindi!!!
Back
Top Bottom