YoYo Afunga ndoa

Tumsifu Samwel

JF-Expert Member
Jul 30, 2007
1,407
159

..Mkuu YoYo akiwa na waifu wake ambaye jina lake halikuweza kupatikana.

..nyingine ya ukumbusho na 'wapambe' wa harusi

Akielekea kwenye hoteli kwajili ya honeymoon..tunasikitika sana usafiri wetu haukutosha kumchukua mpambe wa bi harusi!

Pongezi nyingi sana kwa Mpwa YoYo,na hongera kwa uhamuzi wako wakujichukulia jiko na kuachana na mambo ya kuji-express.
 
unarudia bango hili mkubwa na unampakazia YO YO kafunga ndoa
 
..Mkuu YoYo akiwa na waifu wake ambaye jina lake halikuweza kupatikana.

..nyingine ya ukumbusho na 'wapambe' wa harusi

Akielekea kwenye hoteli kwajili ya honeymoon..tunasikitika sana usafiri wetu haukutosha kumchukua mpambe wa bi harusi!

Pongezi nyingi sana kwa Mpwa YoYo,na hongera kwa uhamuzi wako wakujichukulia jiko na kuachana na mambo ya kuji-express.

Hilo poziii la bwana harusi hapo juu,achaa kabisa.
 
Hivi kuoa ni breaking news au kuoa au kuolewa kwa fulani ndio breaking news? Nway kama kweli hongera Yo Yo
 
Du harusi hii imenikumbusha mbali!!! Ila kwa enzi hizo ilikucha sana!!! vibakuli vya maua fresh mabinti wanarusha ilikuwa ni jadi! Maua fresh enzi hizo yalikuwa yanaashiria kuwa maharusi ni fresh, hawajazini kabla ya ndoa, believe me, wote!!! Siku hizi mambo ni vipi? Tusipotoshe heshima ya maua fresh(fresh flowers).
 
Maua fresh enzi hizo yalikuwa yanaashiria kuwa maharusi ni fresh, hawajazini kabla ya ndoa, believe me, wote!!! Siku hizi mambo ni vipi? Tusipotoshe heshima ya maua fresh(fresh flowers).

Siku hizi wanapulizia PAFYUMU ili kuondoa harufu mbaya ya ze game la kabla!:D
 
copied from gpl (kwa bro Mrisho), hata hivyo hii ilishawekwa humu jf kitambo tu!
 
sijapenda hii style ya kuchukua picha za watu kwa ajili ya kuwachambua, hasa katika matukio ambayo wao wenyewe wanayapa umuhimu na kuyathamini.
Inawezekana ni kwa sababu wengi wetu hatufanani na maisha kama hayo, na kwa hiyo tunaona raha kudhihaki maisha ya watu wengine kwa sababu tu hayana hadhi tunayoitaka.
Hii siyo fair hata kidogo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom