Recent content by Kibingwa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kingereza changu kibaya wapi wanafundisha vizuri?

    British council sio sehemu sahihi kwako kama hujui kingereza...maana wik 5 lak 7 naamin utaishia kusalimia frequntly tu c zaid....nakushaur kama hutojal ni pm ili nikupe namba ya dada angu uwe unafanya nae mazoez ya kuongea
  2. K

    JamiiForums Tanzania Intake ya Chuo Kikuu Huria mwaka 2018

    UNDERGRADUATE Minimum Entry Qualifications Entrance Requirements for First Degree Courses Applicants should fulfill the following conditions: OPTION I Certificate of Secondary Education Examination (C.S.E.E.) or East African Certificate of Education (Ordinary Level) or equivalent, with passes in...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je, GPA ya 3.0 unaweza kusoma masters?

    Je wakuu vp GPA 2.7 ya ualimu unaweza soma shahada ya kwanza?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Today is my graduation ceremony

    M
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaosoma NIT na waliochaguliwa NIT mwaka huu tukutane hapa

    Habar?? Nilisikia kuna course mpya ya education in mathematics with computer ...je ni kweli ?? Ipo na kama ipo sifa za kujiunga inakuaje ...nataka mwakani inshallah nije niisone
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada lugha ya kiarabu na Kingereza

    Mcheki Classy ndo mtaalam wa kingereza ....hukishindwa kuongea nifuate nilirudishe ghalama zako.....Namba yake ni 0713345766
  7. K

    JamiiForums Tanzania Msaada lugha ya kiarabu na Kingereza

    Mcheki Classy ndo mtaalam wa kingereza ....hukishindwa kuongea nifuate nilirudishe ghalama zako.....Namba yake ni 0713345766
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hapa GPA za 2.9 watachaguliwa tu

    Ila kama inawezekana warudishe tu ile ya 2.7 maana kwa walimu Wa diploma ya necta ni wachache sana wenye 3.0 above wengi 3.0 below
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wale tuliosoma Kibasila secondary.

    Kibingwa niliuwa pale 2003-2006
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wana jamvi anaejua kuhusu RPL (recognition of prior learning)

    Naomba kujua hii RPL inakuaje na huwa inachukua mda gani kuifanya....
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kama unajiamini unajua kiingereza kuja hapa

    What born am i daddy?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Online statement za LAPF giza tupu

    Jamn hv ukikopa LAPF makato yao yanatoka wapi ? Naomba kujua kwa wenye uzoefu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yaajiri walimu 3,081 kupunguza uhaba wa walimu wa sayansi, sanaa ina ziada ya walimu 7,463

    Mkaruka unazingua nani amesema mshahara ukiwa MKUBWA hutoshi?
Back
Top Bottom