Wana jamvi anaejua kuhusu RPL (recognition of prior learning)

Kwa mujibu wa hii link Recognition of prior learning (RPL)

Ni kama umesoma kwenye level fulani, unaweza kusamehewa kusoma vitu fulani ambavyo mwingine ambaye hajasoma kama wewe atatakiwa asome.

Kwamfano, watoto waliosoma International Schoolof Tanganyika wanaweza kuwa wamechukua kozifulani zinazowapa exemption kutakiwa kufanya mtihani wa TOEFL ili kujiunga na vyuo vikuu vya Marekani.

Marekani kuna mtindo watoto wa sekondari hufanya kozi fulani,hususan za hesabu,za mwaka wa kwanza chuo kikuu, hawa wakifika chuo kikuu wanaweza kuonyesha kwamba washafanya hizo courses za chuo kikuu wakati wakiwa sekondari.

Mimi kuna professionalcertification ninazo nilifanya halafu nikapotezea kuzi renew kwa sababu hazikuwa relevant na kazi yangu. Nkitaka kuzi renew baada ya miakahii ambayo sikuwa active, mtihani wangu hauwi sawa na mtihani wa yuleanayeanza mwanzo, mimi napewa mtihani fulani kama wa fast track hauna kazi sana kama anayekuwa hajasoma kabisa.

Ndicho nilichoelewa kutokahiyo link.
 
Back
Top Bottom