Ahsante kaka nitamcheki usijaliMcheki Classy ndo mtaalam wa kingereza ....hukishindwa kuongea nifuate nilirudishe ghalama zako.....Namba yake ni 0713345766
Sijakifikiria, labda kama kuna darasa la bure nitajifunza maana sijaandaa budget ya kusoma lugha hiyoKihindi hutaki???![]()
Sawa kaka, nitaendelea kumtafuta japo nishafanya hivyo sana bila majibu chanya.Mie nakuandikia kwa kuwa huyo jamaa labda tu nikuambie kuwa kaish uarabuni na kaosma huko hapa bongo ni mwalimu wa maluga sio tu hiyo Arabic hata Turkish & Spanish atakufundisha 0659 554444