Hapa GPA za 2.9 watachaguliwa tu

Tuyambe

Member
May 24, 2017
11
6
Samahani kwa usumbufu wadau kwa hili la tamko la TCU mimi naona wale diploma wenye GPA ya 2.9 waombe tu vyuoni. Nadhani watapata nafasi maana vyuo vitakosa wanafunzi. Au wewe mdau unaonaje...
 
Samahani kwausumbufu wadau kwahili la tamko la TCU minaona wale diploma wenye GPA ya 2.9 waombe tu vyuoni nadhani watapata nafasi maana vyuo vitakosa wanafunzi.Au wewe mdau unaonaje...
Swala ni vyuo kupata wanafunzi wenye sifa. 2.9 itahitaji TCU ibadilishe vigezo, hivyo sidhani kama kuomba na 2.9 ni kuwa makini bali kupoteza muda na fedha tu.
 
Kweli japo nahisi baadhi yavyuo vitakosa ujazo mzuri wa wanafunzi nafkiri TCU walekebishe nafkiri 2.9 ingefaa kidogo ,ushauri wangu waombe tu labda wanaweza kukaachini
 
Back
Top Bottom