Recent content by KIBARAone

  1. KIBARAone

    Hamad Rashid avuliwa uanachama ADC

    Believe my own source. Mimi ni mdau niliyeshiriki kumpigia kura ya kumfuta uanachama mpaka sasa tushamkabidhi barua.
  2. KIBARAone

    Hamad Rashid avuliwa uanachama ADC

    Aliyekuwa mgombea Urais kupitia chama cha ADC Zanzibar amevuliwa uanachama wa chama hicho baada ya kuunga kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Rais na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi zanzibar ZEC, Bwana JECHA. Dhambi ya usaliti malipo ni hapa hapa duniani.
  3. KIBARAone

    kalamu za kamera zipigwe marufuku chaguzi zote

    Lumumba Fc kumefukuta. Hiyo ndiyo dawa ya bao la mkono, Lubuva na JECHA
  4. KIBARAone

    Natafuta Printing Machine Operators

    Kuna technician hapa ana Diploma ya mambo hayo ila sijuhi kama mtaelewana naye kwenye mchuzi
  5. KIBARAone

    Mhe. Rais, tunakukumbusha hili kabla hujaondoka Arusha

    Magufuri na Lowasa ni damdam. Mtasubiri saanaaaa Magufuli kumgusa Lowasa
  6. KIBARAone

    Uchaguzi USA: Mshindi atakuwa Donald Trump (Ubashiri)

    Jamani hata Shein ni mbaguzi Sema tu yeye anawatumia vijana wa Lumumba ya Zanzibar kumsemea na Trump yeye anatamka pekee
  7. KIBARAone

    Uchaguzi USA: Mshindi atakuwa Donald Trump (Ubashiri)

    Binafsi namkubali falsafa zake mkuu za kuwambia ukweli viongozi wa Africa
  8. KIBARAone

    Uchaguzi USA: Mshindi atakuwa Donald Trump (Ubashiri)

    Katika uchaguzi mkuu wa USA huyu ndiye ataibuka mshindi na kuongoza USA akiwa anapokea kijiti toka kwa Barrack Obama. Kwa msimamo ya huyu mgombea atawanyoosha viongozi wa Africa wenye kung'ang'ania madarakani kama KURUNZINZA wa Burundi. #MakeAmericaGreatAgain
  9. KIBARAone

    Tetesi: Kingunge na Mwapachu wanataka kurudi CCM

    Acheni warudi mbona Dr Mihogo alisharudi.
  10. KIBARAone

    Uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar CCM lazima walizwe leo

    Tayari makamanda wako eneo la tukio.
  11. KIBARAone

    Uchaguzi Meya wa Jiji waahirishwa

    Acha uongoooo. Hawa hapa ni baadhi ya makamanda wametulia eneo la tukio wanasubiri kuondoka na mayor wao.
  12. KIBARAone

    Uchaguzi Meya wa Jiji waahirishwa

    Uchaguzi upo pale pale. Hiyo ni janja ya maccm ya kutaka makamanda wengi wasifike eneo la tukio ili wachakachue kirahisi.
  13. KIBARAone

    Uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar CCM lazima walizwe leo

    Nilisikia uchaguzi umehairishwa mkuu
Back
Top Bottom