Guys, hope you are doing fine, Nina kikampuni kidogo cha mambo ya printing kinaitwa A DIGITAL PRINTERS LTD, kipo Mbeya....nhitaji sana vijana 2 wa kufanya kazi upande wa printing machines...mwenye interest atume cv yake kwa info@adigitalprinters.com....mshahara maelewano...kwa asiye mkazi wa mbeya nitampatia mahala pa kuishi kwa muda usiozid miezi 3.