Hamad Rashid avuliwa uanachama ADC

KIBARAone

JF-Expert Member
Mar 26, 2015
642
243
Aliyekuwa mgombea Urais kupitia chama cha ADC Zanzibar amevuliwa uanachama wa chama hicho baada ya kuunga kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Rais na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi zanzibar ZEC, Bwana JECHA.

Dhambi ya usaliti malipo ni hapa hapa duniani.
 
Mkuu hapa ni patamu sana lakini mbona hukuweka chanzo, natamani kufurahi lakini nasita weka vizuri vyanzo vyako.
 
ni hivi , ukubwa wa laana ya usaliti umewekwa wazi sana ndani ya vitabu vitakatifu , hapo bado , kwa mujibu wa maandiko matakatifu yatamfika makubwa zaidi , shukrani zimwendee Mwenyezi Mungu ambaye aliweka utaratibu huu miaka mingi iliyopita .
 
Aliyekuwa mgombea Urais kupitia chama cha ADC Zanzibar amevuliwa uanachama wa chama hicho baada ya kuunga kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Rais na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi zanzibar ZEC, Bwana JECHA.

Dhambi ya usaliti malipo ni hapa hapa duniani.
hili ni pigo kubwa sana kwa salum jecha .
 
Aliyekuwa mgombea Urais kupitia chama cha ADC Zanzibar amevuliwa uanachama wa chama hicho baada ya kuunga kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Rais na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi zanzibar ZEC, Bwana JECHA.

Dhambi ya usaliti malipo ni hapa hapa duniani.
Zitto wa visiwani huyo,Ngoja sasa ma shoe shine wamsomeshe namba
 
Aliyekuwa mgombea Urais kupitia chama cha ADC Zanzibar amevuliwa uanachama wa chama hicho baada ya kuunga kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Rais na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi zanzibar ZEC, Bwana JECHA.

Dhambi ya usaliti malipo ni hapa hapa duniani.
Bado ni mgombea kwa mujibu wa tangazo la JECHA
 
Wasaliti hakuna msaliti alie wahi kuwa na maisha ya amani, ukisaliti hata urafiki mwisho ni aibu na kutapatapa, ache ale alilolipanda.
 
Dhambi ya usaliti ni mbaya sana...
Popote utakakoenda itakufuata na kukutafuna tu...
 
Hivi huyu jamaa si ndio mwanzilishi wa chama!?...anyway chama ni taasisi kwa hilo aondoke tu
 
Back
Top Bottom