YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,995
Mtu anatakiwa apige kura kwa uhuru bila shinikizo,woga au kuangaliwa anavyopiga na mtu mwingine aliye ndani ya chumba ,nje au picha ya kamera inayopiga na kurusha wakati anapiga kura.
Tume za uchaguzi zisiruhusu mtu yeyote kutumia kalamu yoyote zaidi ile zaidi ya ile ya Tume au ya msimamizi wa uchaguzi
CHADEMA uchaguzi mkuu walitaka watu waende na peni zao kumbe lengo lao lilikuwa kuingiza kalamu zenye kamera zinazotumiwa na mamafia.
Mtu akipiga kura anayetakiwa kuangaliwa anapigaje ni kipofu ambaye hupewa mtu wa kumsaidia
Kuruhusu watu kuja na peni zao siku ingine watakuja na kalamu zenye sumu zikamwaga sumu eneo la kupigia kura watu wakaathirika.Peni ziruhusiwe za tume tu na hata uchaguzi wa meya peni za kawaida ndio zitumike iwe marufuku mtu kutumia peni yake