Uchaguzi USA: Mshindi atakuwa Donald Trump (Ubashiri)

KIBARAone

JF-Expert Member
Mar 26, 2015
642
243
Katika uchaguzi mkuu wa USA huyu ndiye ataibuka mshindi na kuongoza USA akiwa anapokea
kijiti toka kwa Barrack Obama.

Kwa msimamo ya huyu mgombea atawanyoosha viongozi wa Africa wenye kung'ang'ania madarakani kama KURUNZINZA wa Burundi.

#MakeAmericaGreatAgain
 
Attachments

  • 1453538392230.jpg
    1453538392230.jpg
    20.3 KB · Views: 85
Lini umechukua mikoba ya shehe yahaya? Japokuwa nae utabiri wake wa mwisho kutabiria wengine ghafla ukamgeukia yeye, kuwa tahadhali nawewe ktk ramli zako
 
Binafsi namkubali falsafa zake mkuu za kuwambia ukweli viongozi wa Africa
 
Katika uchaguzi mkuu wa USA huyu ndiye ataibuka mshindi na kuongoza USA akiwa anapokea
kijiti toka kwa Barrack Obama.

Kwa msimamo ya huyu mgombea atawanyoosha viongozi wa Africa wenye kung'ang'ania madarakani kama KURUNZINZA wa Burundi.

#MakeAmericaGreatAgain

Moderator hii habari inatakiwa kuwa Jukwaa la kimataifa.Mbona mnatuletea uswazi uswahilini kwetu? kwani kwao marekani hawana jukwaa lao?.
Hii habari mpelekee huyo Trump haituhusu
 
Yani wewe hujui kabisa siasa
Rais wa USA ajae ni Hillary Clinton
Hizo asilimia zisikuogopeshe; huo ni mchakato wa ndani ya chama cha Republican kuangalia nani atakayepeperusha bendera kwa upande wa Republican.

But make no mistakes, Americans are not fools to choose this pig.

Subiri mchakato wa Democrats ukolee ndio utajua kampeni ni mkakati na sio matangazo.
Hillary Clinton ana jina tayari, anachojipanga kufanya ni kuleta sera zitakazokubalika.

Trump hana jina na ndio maana anatumia nguvu kubwa kujitangaza.

Americans and the world know what to expect from Hillary Clinton but certainly not from this Wallstreet mogul
 
Binafsi napenda viongozi wenye misimamo mikali, like these man's
 
Attachments

  • 1453539077248.jpg
    1453539077248.jpg
    16.6 KB · Views: 62
Yani wewe hujui kabisa siasa
Rais wa USA ajae ni Hillary Clinton
Hizo asilimia zisikuogopeshe; huo ni mchakato wa ndani ya chama cha Republican kuangalia nani atakayepeperusha bendera kwa upande wa Republican.

But make no mistakes, Americans are not fools to choose this pig.

Subiri mchakato wa Democrats ukolee ndio utajua kampeni ni mkakati na sio matangazo.
Hillary Clinton ana jina tayari, anachojipanga kufanya ni kuleta sera zitakazokubalika.

Trump hana jina na ndio maana anatumia nguvu kubwa kujitangaza.

Americans and the world know what to expect from Hillary Clinton but certainly not from this Wallstreet mogul
wewe labda ndo humjui trump
 
falsafa ya kuchukia ngozi nyeusi na uislamu ndo vilivyokuvututia????
Sioni tofauti baina ya huyu mtu na CCM! Yeye anachukia watu weusi katika nchi ya watu weupe, CCM inachukia machotara katika nchi ya watu weusi. CCM inachukia na kuwatesa waislamu wasio na hatia kwa kutangaza neno la Mungu. Ni bora wakakataza uislamu kuwa practiced kama vile Angola.
 
Katika uchaguzi mkuu wa USA huyu ndiye ataibuka mshindi na kuongoza USA akiwa anapokea
kijiti toka kwa Barrack Obama.

Kwa msimamo ya huyu mgombea atawanyoosha viongozi wa Africa wenye kung'ang'ania madarakani kama KURUNZINZA wa Burundi.

#MakeAmericaGreatAgain

trump oyeee njoo uwanyoshe kina PK wa rwanda na m7 wa uganda
 
Katika uchaguzi mkuu wa USA huyu ndiye ataibuka mshindi na kuongoza USA akiwa anapokea
kijiti toka kwa Barrack Obama.

Kwa msimamo ya huyu mgombea atawanyoosha viongozi wa Africa wenye kung'ang'ania madarakani kama KURUNZINZA wa Burundi.

#MakeAmericaGreatAgain

Bwana Trump rafiki yangu wa muda mrefu nikiwa naishi TEXAS nasubiri kwa hamu achukue urais nirudi Washington DC kula bata , kila lakheri donard
 
Back
Top Bottom