Uchaguzi Meya wa Jiji waahirishwa

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,816
49,004
Ulikuwa ufanyike leo trh. 23 Jan, umeahirishwa hadi utakapotangazwa tena.

CCM wana ahirisha matatizo bora wafanye mapema ili waanze kuyazoea maumivu.

Kwa taarifa tu, jumla ya wapiga kura (madiwani na wabunge) ni 161.
Kinondoni:
UKAWA - 38, CCM - 20.
Ilala:
UKAWA - 31, CCM - 23 au (0) wakisusa tena.
Temeke:
UKAWA - 18, CCM - 31.

Kwa wanaojua mahesabu hata hawasumbuki wameshajua mshindi atatoka wapi, lakini kwa wenzangu na miye wataingiza literature ndani na maneno meengiii lakini mwisho wa siku
2 + 2 = 9 - 5 = 44 ÷ 11 = 100 × 1/25.

Weekend njema.
 
sababu za kuahirisha ni nini??
Labda CCM wanataka kujua hatima yao ya Ilala ili kama jaji atawaruhusu kupiga kura majeshi ya kukodi ya zbar basi wawarudishe ili wawatumie kwenye uchaguzi wa meya wa DSM . CCM wanaweza kutumia delay tactics forever Itabidi diwani mmoja wa UKAWA aende kufungua kesi mahakamani ili mahakama imlazimishe mkurugenzi wa mji kuitisha uchaguzi immediately
 
Uchaguzi upo pale pale.

Hiyo ni janja ya maccm ya kutaka makamanda wengi wasifike eneo la tukio ili wachakachue kirahisi.
 
Ulikuwa ufanyike leo trh. 23 Jan, umeahirishwa hadi utakapotangazwa tena.

CCM wana ahirisha matatizo bora wafanye mapema ili waanze kuyazoea maumivu.

Kwa taarifa tu, jumla ya wapiga kura (madiwani na wabunge) ni 161.
Kinondoni:
UKAWA - 38, CCM - 20.
Ilala:
UKAWA - 31, CCM - 23 au (0) wakisusa tena.
Temeke:
UKAWA - 18, CCM - 31.

Kwa wanaojua mahesabu hata hawasumbuki wameshajua mshindi atatoka wapi, lakini kwa wenzangu na miye wataingiza literature ndani na maneno meengiii lakini mwisho wa siku
2 + 2 = 9 - 5 = 44 ÷ 11 = 100 × 1/25.

Weekend njema.
Acha uongoooo.

Hawa hapa ni baadhi ya makamanda wametulia eneo la tukio wanasubiri kuondoka na mayor wao.
 
Attachments

  • 1453535519611.jpg
    1453535519611.jpg
    31.2 KB · Views: 34
Acha uongoooo.

Hawa hapa ni baadhi ya makamanda wametulia eneo la tukio wanasubiri kuondoka na mayor wao.
Sorry mkuu, hii nimeisikia redioni kama uchaguzi unaendelea basi redio ilikuwa inapotosha.
 
Maudhui ya huu uchaguzi wa Umeya yako hivi; CCM wanataka kuaminisha watu kwamba Uchaguzi ukirudiwa wamesimamia haki ili UKAWA wajiamini na kule Zanzibar kwamba haki itasimama... Ni kwamba, CCM wamekubali kulitoa chambo Jiji la Dar ila wanachukua koloni lao la Zanzibar...
 
Ulikuwa ufanyike leo trh. 23 Jan, umeahirishwa hadi utakapotangazwa tena.

CCM wana ahirisha matatizo bora wafanye mapema ili waanze kuyazoea maumivu.

Kwa taarifa tu, jumla ya wapiga kura (madiwani na wabunge) ni 161.
Kinondoni:
UKAWA - 38, CCM - 20.
Ilala:
UKAWA - 31, CCM - 23 au (0) wakisusa tena.
Temeke:
UKAWA - 18, CCM - 31.

Kwa wanaojua mahesabu hata hawasumbuki wameshajua mshindi atatoka wapi, lakini kwa wenzangu na miye wataingiza literature ndani na maneno meengiii lakini mwisho wa siku
2 + 2 = 9 - 5 = 44 ÷ 11 = 100 × 1/25.

Weekend njema.
Hesabu za memkwa hizi
 
kwa wenye habari kamili watuwekee hapa. ama walew waliokaribu na madiwani au wabunge wa dar wanaweza kuwasiliana nao...
 
Ulikuwa ufanyike leo trh. 23 Jan, umeahirishwa hadi utakapotangazwa tena.

CCM wana ahirisha matatizo bora wafanye mapema ili waanze kuyazoea maumivu.

Kwa taarifa tu, jumla ya wapiga kura (madiwani na wabunge) ni 161.
Kinondoni:
UKAWA - 38, CCM - 20.
Ilala:
UKAWA - 31, CCM - 23 au (0) wakisusa tena.
Temeke:
UKAWA - 18, CCM - 31.

Kwa wanaojua mahesabu hata hawasumbuki wameshajua mshindi atatoka wapi, lakini kwa wenzangu na miye wataingiza literature ndani na maneno meengiii lakini mwisho wa siku
2 + 2 = 9 - 5 = 44 ÷ 11 = 100 × 1/25.

Weekend njema.
Hao kweli ni mazuzu wanafikiri kuahirisha ndio dawa?kipigo kipo pale pale
 
Maudhui ya huu uchaguzi wa Umeya yako hivi; CCM wanataka kuaminisha watu kwamba Uchaguzi ukirudiwa wamesimamia haki ili UKAWA wajiamini na kule Zanzibar kwamba haki itasimama... Ni kwamba, CCM wamekubali kulitoa chambo Jiji la Dar ila wanachukua koloni lao la Zanzibar...
Ukawa inazoa ushindi wa dsm na huko zenji ccm wafanye uchaguzi kivyao
 
Waliojimilikishia Uda nadhan ndio wameshinikiza uchaguzi uhairishwe
 
Ulikuwa ufanyike leo trh. 23 Jan, umeahirishwa hadi utakapotangazwa tena.

CCM wana ahirisha matatizo bora wafanye mapema ili waanze kuyazoea maumivu.

Kwa taarifa tu, jumla ya wapiga kura (madiwani na wabunge) ni 161.
Kinondoni:
UKAWA - 38, CCM - 20.
Ilala:
UKAWA - 31, CCM - 23 au (0) wakisusa tena.
Temeke:
UKAWA - 18, CCM - 31.

Kwa wanaojua mahesabu hata hawasumbuki wameshajua mshindi atatoka wapi, lakini kwa wenzangu na miye wataingiza literature ndani na maneno meengiii lakini mwisho wa siku
2 + 2 = 9 - 5 = 44 ÷ 11 = 100 × 1/25.

Weekend njema.
Wasuahirishe tu. Wafute mpaka matokeo maana ndo zao. Kila sehemu wanataka wawe wao tu
 
Back
Top Bottom