Uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar CCM lazima walizwe leo

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Leo ndio ile siku CCM wanadondokea pua tena na hii ni bila msaada wa Jecha.Game itapigiwa pale kareemje hall.

Ni uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar.Mwenye update atujuze jinsi ma shoe shine wanavyonyolewa kimya kimya.

Zipo tetesi wanataka kuweka mpira kwapani.
 
Leo ndio ile siku Ccm wanadondokea pua tena.Na hii ni bila msaada wa Jecha.Game itapigiwa pale kareemje hall
Ni uchaguzi wa meya wa jiji la dar.Mwenye update atujuze jinsi ma shoe shine wanavyonyolewa kimya kimya.
Zipo tetesi wanataka kuweka mpira kwapani.

Hakunaga cha mpira kwapani ama bao la mkono hapa, sisi tunataka dakika tisini zilizojaa na kusheheni uhalali. VivA ukawa, viva upinzani yaani, yaani ,yaaaaani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Lazma wakae haki ya mamaangu.
 
Leo ndio ile siku CCM wanadondokea pua tena na hii ni bila msaada wa Jecha.Game itapigiwa pale kareemje hall.

Ni uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar.Mwenye update atujuze jinsi ma shoe shine wanavyonyolewa kimya kimya.

Zipo tetesi wanataka kuweka mpira kwapani.
Tayari makamanda wako eneo la tukio.
 
Attachments

  • 1453535631219.jpg
    1453535631219.jpg
    31.2 KB · Views: 40
Back
Top Bottom