Recent content by kibananhukhu

  1. K

    Trilioni 1. 05 (Tshs) za MCC kwa Tanzania ilikuwa ndoto ya mchana

    1.0 Trillioni ni nini? Tuacheni uvivu wa kufikiri, tuwe wabunifu na wavumbuzi, sisi tuna akili kuliko Wazungu. Wengine tumeishaanza safari
  2. K

    Kilimo, Green Houses, Irrigation Information

    Bei anza na Greenhouse ya mita 08 x 15 ambayo itakuwa na miche ya nyanya 600 sawa na kilo 12,000 kwani kila mche mmoja una uwezo wa kutoa kilo 20. Uwekezaji wa mwanzo waweza kuw ni shs 7 milioni kwa shamba kitalu lenye size ya mita 08 kwa 15 na uvunaji ni miezi nane mfululizo wakati unaweza weka...
  3. K

    Jumba refu zaidi Afrika Mashariki lafunguliwa Tanzania

    Hapo issue siyo kusema tu ''Ndicho tulichowatuma'' bali ni kutizama fursa gani zinakuja na majengo hayo? 1. Mapato kwa wawekezaji owners 2. Mapato kwa wadau, wauza samani, vifaa svya umeme, compyuters, projectors, CCTV Cameras, makampuni ya usafi, makampuni ya usafiri, makampuni ya ulinzi, kodi...
  4. K

    Jumba refu zaidi Afrika Mashariki lafunguliwa Tanzania

    Hapo issue siyo kusema tu ''Ndicho tulichowatuma'' bali ni kutizama fursa gani zinakuja na majengo hayo? 1. Mapato kwa wawekezaji owners 2. Mapato kwa wadau, wauza samani, vifaa svya umeme, compyuters, projectors, CCTV Cameras, makampuni ya usafi, makampuni ya usafiri, makampuni ya ulinzi, kodi...
  5. K

    Ukweli kuhusiana na shule ya Tibaijuka

    Ukweli haujifichi, Mungu ni Mkubwa. Nafsi yake Tibaijuka na Mungu wake wanajua nini kinachoendelea. Time will tell kwani DHAMBI Hulipwa hapa hapa Duniani.
  6. K

    Dangote Kuanza Kuzalisha Umeme

    Hii nayo ni dalili ya kuturudisha nyuma ki maendeleo, mabadiliko yanaanza na sisi lakini waungwana mnapigana visu vya migongo bila sababu. Tutaendelea kweli kwa tabia hii?? Bila watanzania kuwa na Upendo na ushirikiano hakika hatutafika.
  7. K

    Dangote Kuanza Kuzalisha Umeme

    Inasikitisha sana sisi watanzania ni majitu ya Ajabu sana. Umeme ni miongoni mwa Biashara zanazolipa sana lakini kuna watu wana fedha za kutosha kabisa kuanzisha miradi ya kufua umeme lakini hatuoni fursa hiyo. Nina hakika zaidi ya watanzania 100 wanauwezo huo wakiwemo wafanya biashara kubwa...
  8. K

    Mkutano wa Zitto na Warioba: Waongelea masuala ya uwajibikaji, Maazimio ya Escrow

    Kwa kiasi kikubwa Warioba ameiunga mkono taarifa ya PAC. Kasema, hatua zichukuliwe kwa Brella na Wizara ya fedha kitu ambacho na Zitto alikisema. Hatua stahiki zichukuliwe kwa yeyote atakayebainika alihusika kwa namna moja au nyingine.
  9. K

    Kama ni Kweli Kamati ya Bunge PAC Haikuwahoji Watuhumiwa wa Escrow Under Oath Haki Imebanwa

    Kaka unahoji nini wakati Tibaijuka ameitangazia Dunia kuwa amechukua fedha za Escrow? Pili ni Kweli Mzee haukumsikia mwenyekiti wa kamati ya PAC Zitto kabwe akisema na kusisitiza kuwa Mhongo alihojiwa chini ya Kiapo na Zitto aliahidi kupeleka Hansad jioni ya siku ya taarifa yake. Au mzee na wewe...
  10. K

    Jaji Warioba: Ripoti ya PAC ni dhaifu

    Sitakuwa nimetenda haki kama nikimlaumu Warioba na mwandishi wa taarifa hii. Hata hivyo kwa maoni yangu Warioba naye amekwenda mbali mno kuiona taarifa ya PAC Kuwa ilikuwa na udhaifu. Kwa haraka nilidhani huenda wahusika wengi ni vijana wake wa Nyumbani. Hata hivyo katika taarifa nzima kuna...
  11. K

    Wizi wa Escrow: Albert Marwa ni nani?

    Toeni Captions plse
  12. K

    Prof. Tibaijuka: Nijiuzulu kwa lipi?

    Huyu mama ni Lazima Ana matatizo makubwa kuliko Tunavyofikiri. Kwanza anajifanya haoni kabisa kuwa kuna TATIZO, Pili, ameshindwa kabisa kumsaidia mhe. RAIS Wake ili aibu hii isifike dunia nzima. Angeliweza kuwa mshauri kwa wenzie kwa maslahi ya Taifa. Ni mwanamke wa Kwanza Tanzania kuhusika na...
  13. K

    Sakata la Escrow: Maofisa wa PAP watinga Mahakama Kuu

    Bunge litamuapisha kwanza Jaji, ili awe Jaji.
  14. K

    Kosa la Rugemalira ni nini ?

    Kuna tatizo lazima. Si rahisi Mkaguzi wa Hesabu za Serikali na Taasisi ya Kuzuia Rushwa kuzusha jambo na kulipeleka Bungeni. Mnadhani wanaweza kufanya hivyo kwa faida gani?? Jambo la msingi, kuna wenzetu wenye akili wataanza kulijadili suala hili Bungeni Dodoma na Ukweli hautajificha. Mfano...
  15. K

    Rais Kikwete afanyiwa upasuaji wa tezi dume Marekani, hali yake inaendelea vyema

    Kwa sisi wanaume, hilo ni tatizo la kawaida. Hata hivyo, moja ya vitu vinavyoweza zuia ki urahisi tatizo la prostate na hasa prostate cancer ni kufanya mazoezi ya mara kwa mara. Pole sana Mheshimiwa Rais.
Back
Top Bottom