Ukweli kuhusiana na shule ya Tibaijuka

Ukweli kuhusiana na shule ya Tibaijuka

Asilimia kubwa ya wanafunzi wanaosoma hii shule ni "nshomire until final class" hawa waswahili sijui kawatoa... Atueleze vizuri aache uongo. Nimeshaenda kwenye hiyo shule nikimtafutia nafasi binti wa ndugu yangu. Mfanyakazi wa pale ndio akanitonya kua hadi nshomire wote wapate nafasi, zikibaki ndio wengine wanachukuliwa.
Shule inafadhiliwa na mama mmoja m swedish ndio mwenye jina shule. 1.6b atueleze vizuri kapewa kwa ajili gani.


Sent from my iPhone using JamiiForums

Kama unahitaji mwenye masters na ndugu yako anayo hiyo masters kwanini usimpe eti kisa jirani anayo? hivi mie nikikuomba chakula na ndugu yako naye akaja ana sgda ya chakula utampa nanikwanza mie ama nduguyo? mbona taasisi zenu za umma kazi wanapewa watu fulani iweje ulione boriti kwa taasisi ya binafsi,wewe unazijua goals za organization yake ni nini?
 
Hivi ni kwa nini Good faith ya Fr. Ruge haikuelekezwa moja kwa moja kwa taasisi ya Barbro School na badala yake ilipitia kwanza kwa Mama Tibaijuka?

Mkuu ni kwasababu hizi fedha amepewa huyu mama Tibaijuka na si shule kama wanavyodai. Hili la shule na kuweka picha za watoto maskini waliosimama kwenye nyumba mbovu ni kufikiria kila mtu ana akili ndogo....
 
mtu mchafu atabakia kuwa mchafu hata kama ungemwosha na sabuni ya unga acha kutetea wezi hizo pesa kama zilikuwa na shule mbona alienda kuzitoa bila kushirikisha wenzake huyu mama ni kufukuza JK anachelewa sana kuwafukuza hawa wezi wa pesa za escrow
 
Mkuu ni kwasababu hizi fedha amepewa huyu mama Tibaijuka na si shule kama wanavyodai. Hili la shule na kuweka picha za watoto maskini waliosimama kwenye nyumba mbovu ni kufikiria kila mtu ana akili ndogo....
huu udanganyifu kutumia pesa za watoto kwenye wizi wa pesa za umma
 
tutajiwe wanufaika waliomaliza hapo wangapi wako wapi toka ianze isijekuwa unapigwa picha unaanza f1 kisha unapruniwa end of f1 kigezo pass mark
 
Kuna mambo muhimu kutokana na hizi picha kwanza sijaona wa miaka kumina tano kuendelea ambao wangalikuwa kidato cha tatu kuendelea pili hamtuambii kama kwa sasa wapo kidato gani hapo barbo hii inatia shaka kama watajwa hapo ni enrolled au aspirants.tatu kingereza kilichotumika kinatia shaka ubora wa hiyo elimu hapo au kila mtoto aliandika maelezo yake mwenyewe prof bana najaribu kuwa upande wako ila unaniangusha
 
Mwana jf mmoja tafadhali edit maelezo ya watoto hapo juu
 
Too late to advocate Mama Tibaijuka, kwa jinsi nilivyoona hao watoto hawazidi 8, pamoja na mzaingira yao kuwa magumu sana kama mlivyo jaribu kutuaminisha kwenye hizo picha lakini bado haiingi akili kuwa hizi bilioni moja nukta sita ndizo zilizowasaidia hao watoto haiwezekani bwana. Au kila mtoto amepewa na gari la kutembelea jamani kutokana na hela hiyo? Maana kwa chakula, ada, mavazi na huduma nyinginezo hiyo hela ni nyingi. Lakini pia ada ya pale ndefu sana kama 2.8 milioni hivyo si shule ya kimaskini kama mnavyotaka kutuaminisha. Na kwanini hakutoa taarifa kwenye tume ya maadili kama sheria inavyo mtaka afanye anapopata mali nyingi kiasi hicho?
 
Ukweli haujifichi, Mungu ni Mkubwa. Nafsi yake Tibaijuka na Mungu wake wanajua nini kinachoendelea. Time will tell kwani DHAMBI Hulipwa hapa hapa Duniani.
 
Hao wachache ni wa kuzugia tu kuficha ufisadi wake!

Kipi cha maana kinachoonekana akichokiongeza kwenye hiyo shule baada ya kuvuta hizo 1.6bil.

Anasema kuna deni, liko Benki gani? Atuonyeshe bank loan account kabla na baada ya kulilipa tuamini kweli 1.6bil kalipa Benki.
 
too late to advocate mama tibaijuka, kwa jinsi nilivyoona hao watoto hawazidi 8, pamoja na mzaingira yao kuwa magumu sana kama mlivyo jaribu kutuaminisha kwenye hizo picha lakini bado haiingi akili kuwa hizi bilioni moja nukta sita ndizo zilizowasaidia hao watoto haiwezekani bwana. Au kila mtoto amepewa na gari la kutembelea jamani kutokana na hela hiyo? Maana kwa chakula, ada, mavazi na huduma nyinginezo hiyo hela ni nyingi. Lakini pia ada ya pale ndefu sana kama 2.8 milioni hivyo si shule ya kimaskini kama mnavyotaka kutuaminisha. Na kwanini hakutoa taarifa kwenye tume ya maadili kama sheria inavyo mtaka afanye anapopata mali nyingi kiasi hicho?

soma maelezo yote ndugu,if u want to know the truth then seek for it,mtoa mada kasema baadhi ya majina so sio wote,na mimi nimepitia iyo website ya shule unaweza kuelewa kiukwel,ile shule kumbe kuna watoto wanalipa ada yote,kuna wanao changia kidogo kwa asilimia kulingana na uwezo na kuna ambao hawalipi chochote,ila uzuri wa pale shuleni ni kuwa ukifika pale huwez kujua yupi ni masikin na yupi mwenye uwezo au nani analipa na nani halipi ada,wote wanapata services sawa sawa,shule ile kila kitu unapata pale kuanzia viantu,sox,uniform na kila kitu unapewa pale,wewe unaenda tu na nguo chache.MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI,MASWALA YA MAADILI TUWAACHIE TAKUKURU WAKIONA KUNA MAKOSA AU WAKIONA PESA HAZIKUWAFIKIA WALENGWA BILA SHAKA WATASEMA
 
siku sote mlikua wapi kusema ukweli?

Haaa.....haaaa...........haaaa ! halafu kiasi kikubwa ni Waislaam !
Hao ni wa kuombea pesa tu, kama kupeleka picha ya Wamasai wakitaabika na maji kwa wafadhili.
Kuna shule kule Arusha inaitwa St Judy, hiyo ndioi mfano wa shule ya kusaidia wanyonge.
 
Mambo ya shule hatuna tatizo nayo ILA !!!!! HIZO 1.6B ZILITOKEA SWEDEN AU KWA RUGEMALILA??????????
MWIZI NI MWIZI HATA AKIJENGA KANISA HAIMFUTII SHITAKA!!!!
 
Nikiambiwa chagua uwaziri au simamia shule nisingejiuliza ningesimamia shule zangu hapo naisaidia zaidi jamii kuliko sisa za thirdworld mama rudi jenga shule mtwara singida lindi maskini na wajinga ni wengi -hiyo ni sadaka kwa mungu jiweke karibu na hizo shule
 
Back
Top Bottom