Recent content by kibaigwajf

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ijue nguvu ya ajabu inayotamaniwa na wachawi na waganga wa kienyeji

    Ubarikiwe mtimishi wa Mungu.
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Mimi Niko Mwanza mjini naishi mtaa Jirani na CCM KIRUMBA STADIUM mechi kwenye kibanda umiza nalipia mia tano.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wachungaji kutaka fungu la kumi kwa lazima

    Toa fungu la kumi litakulinda na magonjwa hata bi mkubwa anaweza kupona huo ugonjwa unaokula Hela , maana tunajua MUNGU akuleta magonjwa duniani magonjwa ni ya shetani , msikilize Mchungaji wako utanishukuru.
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba SC kucheza mechi 3 za Kimataifa za Kirafiki kujiandaa na michuano ya CAF na Ligi Kuu

    Wakirudi wakutane na yangu tuone
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CAF yathibitisha simba kuanza hatua ya awali klabu bingwa

    Wanasimba tuadamane mpaka caf
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Oscar Oscar, kama kumuita kiongozi wako mpuuzi sio kosa, fanya hivyo basi kwa bosi wako Majizo kama utabaki salama

    We ndio mpuuzi unayeamini Manara ameajiriwa na Karia
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wakuu natafuta hii gari

    Nitafute ninayo mwanza nzuri sana unaweza nipata Instagram @magari_bei_rahisi_mwanza naogopa.
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama yangu huyu naona anavuka mipaka, dizaini anataka kujimilikisha nyumba niliomwambia akae for free

    Acha utoto mpe hiyo chumba sio usingizie kuwa una mjengea kukulea na kuwakuza sio kazi ndogo ya kulinganisha na hicho kibanda mpe mwache mungu atakupa nyingine.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Je, kuna namna yoyote ya kukuza umeme wa solar?

    Mkuu nilinunua solar ndogo wt 60 campuni ya chloride exide, wakanipa na solar controller Pia betri ya n 50 kwa ajiri ya kuwasha taa 5 Sasa fundi aliyekuja nifungia akasema hata tv yangu ni mfumo wa solar kwahiyo naweza tumia Lakini usiku nikiwasha sana tv tunalala giza. Vipi kuna uwezekano...
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni aina ipi ya sub woofer ni nzuri?

    Sea piano noooma sana mkuuu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kisa cha kweli, mbingu ipo na moto wa jehanamu upo

    GOD is real mungu yupo na mbingu ipo na kuzimu kupo , ila wanaoona ni wachache mpaka uyaishi maisha yakumpendeza mungu ndo unaona hayo mambo.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Maadui walioizunguka Israel wako zaidi ya million 500 ni nini kinachowashinda kuifuta Israel?

    Mungu wa ibrahim, isaka, na yakobo hajawahi kushindwa wote seeema ameeeen.
Back
Top Bottom