Recent content by kibagadu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kumiliki gari Tanzania kumegeuka kuwa ng'ombe wa serikali

    Acha mawazo ya kimaskini wewe
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mwili wangu huwa unanuka mpaka sina raha ya kuishi

    Mkuu vipi ukijamba
  3. K

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa house girl wetu amekuwa matawi ya juu mpaka nimetamani awe mke wangu

    Mkuu Mbona kama young d huyu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa safari yangu ya South Africa

    Hakika jamii forum ni zaidi ya chuo kikuu.kuna watu werevu sana. I like it
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyekatwa mikono kwa utasa sasa ni mjamzito

    Hivi wewe ni mkenya au mtanzania.kiswahili chako ni kama mtanzania vile. Xorry kwa kuwa nje ya maada
  6. K

    JamiiForums Tanzania Jina la Mkuu limepotea JF

    Mi naona halifai kwa jinsia ya kike
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mch lusekelo vs gwajima nani tajiri

    Ndo Yale Yale ya kati ya mesi na Ronaldo nani analipwa hela nyingi.wakati wewe unamiliki korodani tu.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Muda wa kujitegemea umefika kwa wale wa 1980s

    Mmmmh aiseeee.huu uzi bora mwaka 2017
  9. K

    JamiiForums Tanzania Barcelona kafia PSG

    Kiwanja hakijui huyu wa nyumbani au ugenini.baka anaweza pigwa nje ndani
  10. K

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani swala la umri jeshini

    Daaah pole aiseeee.yani sifa zote uwe nazo halafu tatizo liwe umri inaboa sana
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani swala la umri jeshini

    Sasa 31 atafikisha mwezi wa kumi na mbili.watamconsider Vp hapo
  12. K

    JamiiForums Tanzania UDSM yazuia Viwanja na Barabara zake kutumiwa na Watu wanaofanya Mazoezi

    Labda ungejua sababu ya wao kufanya hivyo.nadhani wana sababu za msingi
  13. K

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani swala la umri jeshini

    Hajapitia jkt mkuu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani swala la umri jeshini

    Jamani kuna ndugu yangu ni graduate anataka kwenda jeshini mwaka huu. Maana ndo ilikuwa ndoto yake. Kwa sasa Ana miaka thelathini mwezi wa kumi na mbili ndo atatimiza miaka 31.swali langu je usaili ukifanyika kabla haijafika mwezi wa kumi na mbili atakuwa amekidhi vigezo au watamchukulia ana...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Fahamu aina tano za tabia ambazo ukiziendekeza mpaka ikifika 2025 hutafanikiwa tena maishani

    Mimi kuna rafiki yangu mmoja huwa nagombana nae kila siku. Stori zake ni mishahara ya kina Ronaldo tu. Utackia hivi unajua lonado analipwa bilioni mbili kwa wiki wakati yeye hana hata buku.na hana hata mpango angalau wa kumtafuta mkwanja.tujiangalie sana wengine tunaweza tukawa tulizaliwa...
Back
Top Bottom