Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,212
- 4,328
Wakuu nowadays lile jina letu pendwa la kuitana mkuu,limepotea liko wapi? maana saiv utakuta watu wanaitana shemeji,dada,kaka,jamaa.....na majina mengine.kwamba tumeshafahamiana sana humu Jukwaani au watu wamezoeana sana hadi tumefikieni hatua ya kutambuana,kama ndivyo bhasi vizuri tumetambuana umri,jinsi na status zetu.ila jina mkuu ni zuri sna bhana turudisheni hadhi yake,au mnasemaje wakuu??