Recent content by Kibadiru

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

    Kwani uvaaji wa nguo Waafrika wameiga toka wapi?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz aingie kwenye orodha ya mwaka 2014 ya mabilionea duniani

    Achana na mabilionea wa Arusha, Rostam Aziz sasa aingia kwenye orodha ya mabilionea (wenye dola za Kimarekani bilioni moja na zaidi) duniani. Kwenye hii orodha mpya kashika namba 1565 na anakadiriwa kuwa na utajiri wa dola bilioni moja. ============================
  3. K

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Ushoga: Benki ya Dunia yasitisha mkopo kwa Uganda

    Wewe ndiyo hujitambui kabisa! Ona tu hata mantiki yako ilivyo! Unalinganisha shoga na mwizi? Shoga anayejifanyia mambo yake chumbani kwake na mwizi anayeiba vitu na mali za watu unaona sawa wewe? Shoga anachukua vitu vya nani? Anamtia nani hasara? Kulinganisha ushoga na wizi ni dalili ya kuwa...
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nijisaidieje?

    Huna vidole?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe Dk Hamisi Kigwangalla ana CV ya kutisha!

    Labda inatisha wasiojua! Lakini kwa wanaojua kuwa huyo bwana ni mwizi wa maandiko ya wengine wala hawatishwi. Kwani CV ndo nini bana? Si maandishi tu hayo. Kilichomo kichwani mwa mtu kwangu ndo cha muhimu zaidi. Hivyo, hata uwe na mi PhD mia, lakini kama una tabia ya kuigilizia kazi za watu...
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakali wa umombo JF...

    What exactly do you mean by "language that does not exist and is not applicable to real -world creatures"?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

    Kama yeye hajitambui na hajiheshimu wengine inawahusu nini? Maisha ni yao, miili ni yao, na hakuna mwingine mwenye mamlaka ya kuwachania nguo hata ziwe fupi. Wewe kama hupendi usivae hivyo. Lakini siyo kujipa usungusungu wa maadili na kujichukulia sheria mkononi. Acha kupotosha wewe. Nani...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

    Right on mazee. Halafu cha kushangaza zaidi unakuta wanawake wengine nao wanaona hayo manyanyaso ni sawa tu. Lakini unategemea nini kwenye jamii ambayo haithamini utu wa mtu?
  9. K

    JamiiForums Tanzania KAWAMBWA.Shule za serikali zinachukua wanafunzi makapi.

    Kama kweli kasema hivyo basi kakosea sana. Kuwaita watoto wa wenzio makapi ni tusi. Hakuna watoto walio makapi.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Just thinking loudly: Hivi ya Ukraine yakitokea Tanzania leo hii, tungetegemea kuona nini?

    Kwa aina ya watu Watanzania walivyo hayo yaliyotokea Ukraine hayawezi kutokea Tanzania.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

    Kwa kweli akili za baadhi ya Watanzania ni za ajabu sana!
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakali wa umombo JF...

    We Mwajuma umefata nini huku?
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakali wa umombo JF...

    Thing is, NN (currently in abeyance) is not that fond of the sesquipedalianish jaw-breaking grandiloquence usage of any parlance. He is more into effective communication for he believes that no effective communication can occur if the receiver(s) can't understand the message. Highfalutinism...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wahindi washangaa umasikini wa Tz kwa utajiri tulionao.

    Hao Wahindi hawajui vipaumbele vya Tanzania. Uchumi Tanzania siyo kipaumbele hata kidogo. Kipaumbele ni maadili mema na mazuri. Mengine baadaye.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

    Toka lini maji yakawa kipaumbele? Vipaumbele ni ushoga na vimini vya mademu.
Back
Top Bottom