Recent content by KHUZEE

  1. KHUZEE

    Hali halisi haipo kama inavyodaiwa na wapiga kelele wa mitandaoni

    nimependa hapo tuu utazani ni dikteta wa ukweli........hahahahaha kumbe nilidikteta ila la uongo
  2. KHUZEE

    SHAHIDI: Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT (II)

    sina hasira mkuu uji wa muhogo nimekunywa nashukuru kwa ushauri but jamaa ameshindwa elezea huo utapeli pia na mimi nakushauri punguza balimi za offer itakusaidia
  3. KHUZEE

    SHAHIDI: Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT (II)

    *pointi namba mbili jiongezee kwani anakushikia simu usijisajili na brokers wengine mbna me mwanafunzi toka TMT but sikushikwa shati kulazimishwa kutumia JPM *kusema anamuheshimu rais wa JMT ndo kudharau serikali usiingilie uhuru wake heshima ipo kwake so usitake kuiendesha..... * kuondolewa...
  4. KHUZEE

    Maono ya ajabu sana sana!

    tici....maono makali sana naimani atasikia ulichomuotea
  5. KHUZEE

    Nawauliza wana Simba wenzangu, Mohamed Dewji aliwahi kufanikisha lipi kwenye soka?

    Ivi kipindi hicho mlikuwa na mo dewji au kassimu dewji?
  6. KHUZEE

    Tetesi: Mchakato UVCCM; Mgombea Uenyekiti Mwesiga, Kangoye wakamatwa na TAKUKURU Mbeya, TAKUKURU wamgomea January Makamba

    kawaangalie ma dr wote huko REPOA na vyuo wanakofundisha au walikotoka utagundua ni wale wasakatonge wanaosubiria kuteuliwa
  7. KHUZEE

    Tetesi: Mchakato UVCCM; Mgombea Uenyekiti Mwesiga, Kangoye wakamatwa na TAKUKURU Mbeya, TAKUKURU wamgomea January Makamba

    Naomba muache kukiponda na kukisingizia rushwa chama cha maharamia sisi rushwa kwetu hamna ndo maana hata mnyeti tulimpandisha cheo tena cha kuteuliwa na mkulu mwenyewe kwa sababu ya kukataa rushwa hadharani, acheni tutimize ilani yetu kwa wananchi wanaotuamini[emoji23]
  8. KHUZEE

    Sehemu ya Jengo la Studio za Clouds Media Group yaungua moto

    [emoji23] bwana yule ni hatari
  9. KHUZEE

    Movie za intelligensia

    Izo ndo movie nzuri unapasua kichwa kuelewa inataka nini? Kwa bongo movie nmeiona moja tuu inaitwa mama kijacho ya sajuki, sipendi bongo movie but nilinogewa nayo coz nilishtuka imefika mwisho ndo naelewa inataka nini
  10. KHUZEE

    Movie za intelligensia

    Install showbox app kuna movie na series nyingi sana au kama vipi ingia todaytvseries.com wana series hd lakini with a small size mpk mb 100
  11. KHUZEE

    Skinny girls ni kila kitu!

    Mbna me huwa nawapata wazuri
  12. KHUZEE

    Skinny girls ni kila kitu!

    Tumewakumbuka kwakweli
  13. KHUZEE

    Skinny girls ni kila kitu!

    Wapo tofauti tofauti ni maumbile tuu
  14. KHUZEE

    Skinny girls ni kila kitu!

    Nishawaona aisee mwanamke mwembamba mzuri sana but kwangu asiwe mwembamba sana
Back
Top Bottom