Tetesi: - Mchakato UVCCM; Mgombea Uenyekiti Mwesiga, Kangoye wakamatwa na TAKUKURU Mbeya, TAKUKURU wamgomea January Makamba | Page 4 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tetesi: Mchakato UVCCM; Mgombea Uenyekiti Mwesiga, Kangoye wakamatwa na TAKUKURU Mbeya, TAKUKURU wamgomea January Makamba

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Nyamemba, Dec 6, 2017.

 1. N

  Nyamemba JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2017
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  *BREAKING NEWS*:


  Wafuasi Wa Thobias Mwesiga wakiongozwa na Kangoye wakamatwa mkoani Mbeya wakigawa rushwa kwa wajumbe ya Tsh 40,000/= kwa kila mjumbe Wa mkutano mkuu.

  Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wafuasi hao wameshikiliwa na maafisa Wa TAKUKURU na kupelekwa kituo cha police mjini Mbeya.

  January Makamba amepiga simu kadhaa kuwaomba takukuru wamuachie kimya kimya ili hili tukio lisijulikane.

  Tunaendelea kufuatilia kwa karibu suala hili na tutawaletea taarifa kamili hivi punde
   
 2. G

  Getang'wan JF-Expert Member

  #61
  Dec 7, 2017
  Joined: Apr 9, 2015
  Messages: 1,331
  Likes Received: 1,207
  Trophy Points: 280
  Kwa maana ndiye amekamatwa mbeya na takokuru
   
 3. Myfancyface

  Myfancyface JF-Expert Member

  #62
  Dec 7, 2017
  Joined: Dec 23, 2016
  Messages: 644
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 180
  Na ile mahakama ya mafisadi mbona haijatumika kumshughulikia?!Walk the talk!!! Huu wimbo umepoteza radha.
   
 4. kilambalambila

  kilambalambila JF-Expert Member

  #63
  Dec 7, 2017
  Joined: Nov 16, 2013
  Messages: 7,528
  Likes Received: 3,668
  Trophy Points: 280
  Zinaweza kuwa fitina pia! Chanzo cha hayo maandishi ni nini?
   
 5. Myfancyface

  Myfancyface JF-Expert Member

  #64
  Dec 7, 2017
  Joined: Dec 23, 2016
  Messages: 644
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 180
  Naisubiri kesi yake kwa hamu. A person is not guilty till proven otherwise in a court of law. Kesi yake imeishia wapi?! Ewe mtanzania amka.
   
 6. Waterloo

  Waterloo JF-Expert Member

  #65
  Dec 7, 2017
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,065
  Likes Received: 13,512
  Trophy Points: 280
  Kama Mwenyekiti mwenyewe anakula Rushwa je wafuasi wake
   
 7. Myfancyface

  Myfancyface JF-Expert Member

  #66
  Dec 7, 2017
  Joined: Dec 23, 2016
  Messages: 644
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 180
  Alifanya huku CCM na alikuwa na wenzake wengi tu amewaacha huku.
   
 8. mwayungi

  mwayungi JF-Expert Member

  #67
  Dec 7, 2017
  Joined: May 9, 2017
  Messages: 1,552
  Likes Received: 2,646
  Trophy Points: 280
  Atasema UKAWA alivyo mpuuzi
   
 9. mwayungi

  mwayungi JF-Expert Member

  #68
  Dec 7, 2017
  Joined: May 9, 2017
  Messages: 1,552
  Likes Received: 2,646
  Trophy Points: 280
  Hahahaaa,,,,hapo lazima akae kimya
   
 10. B

  Babati JF-Expert Member

  #69
  Dec 7, 2017
  Joined: Aug 7, 2014
  Messages: 31,832
  Likes Received: 25,122
  Trophy Points: 280
  Analaana ya CCM.
   
 11. mwayungi

  mwayungi JF-Expert Member

  #70
  Dec 7, 2017
  Joined: May 9, 2017
  Messages: 1,552
  Likes Received: 2,646
  Trophy Points: 280
  Ukiwa CCM sifa ni kujitoa akili
   
 12. KHUZEE

  KHUZEE Member

  #71
  Dec 7, 2017
  Joined: Apr 18, 2017
  Messages: 27
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 5
  Naomba muache kukiponda na kukisingizia rushwa chama cha maharamia sisi rushwa kwetu hamna ndo maana hata mnyeti tulimpandisha cheo tena cha kuteuliwa na mkulu mwenyewe kwa sababu ya kukataa rushwa hadharani, acheni tutimize ilani yetu kwa wananchi wanaotuamini
   
 13. KHUZEE

  KHUZEE Member

  #72
  Dec 7, 2017
  Joined: Apr 18, 2017
  Messages: 27
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 5
  kawaangalie ma dr wote huko REPOA na vyuo wanakofundisha au walikotoka utagundua ni wale wasakatonge wanaosubiria kuteuliwa
   
 14. MasterP.

  MasterP. JF-Expert Member

  #73
  Dec 7, 2017
  Joined: Jun 5, 2013
  Messages: 4,694
  Likes Received: 2,307
  Trophy Points: 280
  CCM hapo ndiyo mambo yao waliyozoea hakuna la ajabu hapo
   
 15. K

  KIM JOHN UN JF-Expert Member

  #74
  Dec 7, 2017
  Joined: Nov 10, 2017
  Messages: 297
  Likes Received: 400
  Trophy Points: 80
  ila mimi binafsi sioni contribution ya Kubenea kwenye kukua ama kukomaa kwa Chadema.Yaani ni li mzigo flani hivi amazing.
   
 16. Johnny Impact

  Johnny Impact JF-Expert Member

  #75
  Dec 7, 2017
  Joined: Sep 12, 2017
  Messages: 1,385
  Likes Received: 1,145
  Trophy Points: 280
  Nchi ya viwanda na umeme mgao. Hatari sana.
  Utakuta watu huko kijijini hawajui umeme utawakuta wapo busy. Tunataka viwanda, huwa natamani niwapige hata makofi.
  Rushwa kwa ccm ni kawaida kbsa.
   
 17. Johnny Impact

  Johnny Impact JF-Expert Member

  #76
  Dec 7, 2017
  Joined: Sep 12, 2017
  Messages: 1,385
  Likes Received: 1,145
  Trophy Points: 280
  Na wananchi wenye akili nusu nusu wanapumbazwa sana. Viongozi wa Chadema wanabambikiziwa kesi zingine hata hazipo ili mradi waonekane wabaya kwa wananchi.
  Nilisikitika sana kesi aliyebambikiziwa Lijuakali na wenzake. Ina uma sana
  Namfahamu sana bwana yule na roho yake mbaya, lkn ukweli na haki utatawala milele ni suala la muda tu.
  Alitaka kumpoteza Lissu, utafikiri yy ataishi milele
   
 18. c

  chikundi JF-Expert Member

  #77
  Dec 7, 2017
  Joined: Oct 16, 2016
  Messages: 8,248
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Inawezekana wakawa wasanii lkn waondolewe single nani? Lowassa ambaye ana kashfa hizo hizo? ccm wameonyesha kushindwa kwenye maeneo mengi tatizo hakuna mbadala wake aliye imara.
   
 19. mrangi

  mrangi JF-Expert Member

  #78
  Dec 7, 2017
  Joined: Feb 19, 2014
  Messages: 24,919
  Likes Received: 11,163
  Trophy Points: 280
  Hicho ni kiwanda cha rushwa jomba

  Ova
   
 20. g

  gogo la shamba JF-Expert Member

  #79
  Dec 7, 2017
  Joined: Mar 1, 2013
  Messages: 6,425
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  kama wanaotakiwa kuzuia rushwa ndio wanaoongoza kwa rushwa itakwishaje?
   
 21. tweenty4seven

  tweenty4seven JF-Expert Member

  #80
  Dec 7, 2017
  Joined: Sep 21, 2013
  Messages: 7,310
  Likes Received: 4,832
  Trophy Points: 280
  Mabwabwa wa lumumba huwezi kuwaona hapa kwenye uzi,wanachungulia kwa mbali hku wakisubiria rushwa za wagombea wao ufisadi lumumba ni jadi yao[​IMG]
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...