ni kweli mapenzi hayasomeki.Ila sometimes mtu unajikuta unapenda bila kuangalia figure
Acheni uhuni bana hamkui tu!Me tukunyemaa
Tumewakumbuka kwakweliHatimae na sie leo tumekumbukwa, dah maana.ilikuwa ni story za misambwanda tu.
Wewe ni kembamba?? Wanaume wembamba wanapenda matipwatipwa.Wengine tunapenda mabwanyenye
Mbona sipendi vifutu/vipipa?Wewe ni kembamba?? Wanaume wembamba wanapenda matipwatipwa.
Asiwe bonge sana kiasi kwamba anashindwa kuruka mchezo wa kamba. Halafu ujue nakusaka saka sikuoni.. njoo hukuHahahaaa. Kaka ujue nimecheka sana duuuh.
Kwani na wewe kaka ndio ugonjwa wako huo?
View attachment 632710 kila mtu na apendacho Ti hana tatoo lkn kapenda mke alipiga tatoo
Wewe ni kembamba?? Wanaume wembamba wanapenda matipwatipwa.
Ila haka kamke ka-TI kana sura chungu. Sijui kwanini mahandsome hawapati mabeautifulView attachment 632710 kila mtu na apendacho Ti hana tatoo lkn kapenda mke alipiga tatoo
TI is a man of the year kwangu, with all that went through his marriage, lakini ameweza kupambana akarudisha familia pamoja.
Ikiwa ni pamoja na kuupiga chini mchepuko ulioibuka akiwa na matatizo ya ndoa, na kurudiana na wife.
Mchepuko wenyewe huu hapa chini:-
![]()
![]()
![]()
yah tip namkubali anapenda sana familia yake,TI is a man of the year kwangu, with all that went through his marriage, lakini ameweza kupambana akarudisha familia pamoja.
Ikiwa ni pamoja na kuupiga chini mchepuko ulioibuka akiwa na matatizo ya ndoa, na kurudiana na wife.
Mchepuko wenyewe huu hapa chini:-
![]()
![]()
![]()
Kama na wewe umo kwenye kundi hilo njoo tufanye yetu.Haya skinny girl mkujeee
kwakweli Mungu mkubwa.😀😀😀Hatimae na sie leo tumekumbukwa, dah maana.ilikuwa ni story za misambwanda tu.