Recent content by khomgodlove

  1. khomgodlove

    Digitali hii ni hatari kwa jamii yetu

    Mitandao ambayo tunaitumia kujingizia kipato kwa Vijana wengi siyo ya hapa nchini ni ya wenzetu huko majuu, sasa ikitokea shida ni lazima kuwe na remote solution ambayo ni ngumu kusaidiwa haraka kutokana na ucentralized wake, mfano : watu wamewekeza kwenye YOUTUBE CHANNEL lakini account inaweza...
  2. khomgodlove

    Tunatoa huduma za Graphics design

    Kuna nmna inatakiwa ipangwe ili iprintike vizuri, usipo ipanga utatoa a4
  3. khomgodlove

    Tangazo la nafasi 123 za kazi Wizara ya Afya (MOH)

    Wizara ya Afya (MOH) kupitia Ruzuku ya Mfuko wa Kimataifa (GF) inatafuta watu binafsi wenye ari, wabunifu na wenye nguvu ambao watafanya kazi chini ya , 2026) makubaliano ya kimkataba kujaza nafasi 123 zilizoachwa wazi.
  4. khomgodlove

    Sasa YouTubemusic na YouTube Premium kupatikana Kenya

    YouTube leo imetangaza kuwa YouTube Music na YouTube Premium sasa zinapatikana #Kenya. --- YouTube imetangaza kuwa YouTube Music na YouTube Premium sasa zinapatikana #Kenya. Upanuzi huu unaashiria hatua muhimu katika kujitolea kwa YouTube kutoa burudani iliyoboreshwa kwa watumiaji katika...
  5. khomgodlove

    Tunatoa huduma za Graphics design

    Kwa wale wanapenda kutumia business card kwenye Biashara zao. Tupo kwa bei rahisi kabisa tuna design tunapanga tunatuma soft copy unaprint kwa bei chee kwenye machimbo yako! Karibu Sana namba zipo kwenye poster hapo.
  6. khomgodlove

    Youtube inachukua asiliamia 30 kama income tax (withholdtax) ambayo sidhani kama inafika ama kurudi hapa nchini kwetu

    hahaha kama unaijua hii pay as you earn ya hapa kwetu basi utafurahi hii ya youtube ikirudi hapa nchini kwetu , na kwenye ile fomu ya tax ads unapo ijaza kuna sehemu kabisa ya kuikimbia ama kuipunguza ikiwa unafanyia kazi nje ya US ila nchi ya sisi haipo kabsa ndio maana nasema kuna sehemu...
  7. khomgodlove

    Youtube inachukua asiliamia 30 kama income tax (withholdtax) ambayo sidhani kama inafika ama kurudi hapa nchini kwetu

    Youtube inachukua asiliamia 30 kama income tax (withholdtax) ambayo sidhani kama inafika ama kurudi hapa nchini kwetu. Mfano: wimbo mmja wa DIAMOND PLATNUMZ uliwahi kufikisha Milioni 100 za kitanzania asilimia 30 yake ni milioni 30 zote zinakwenda USA. Kungepatikana namna hata ya nchi...
  8. khomgodlove

    Elizabeth Báthory: Muuaji wa kike aliyeua watu wengi kuliko mtu yeyote

    Uhalifu wachache wa wanawake umejirudia katika historia kama ule wa Countess Elizabeth Báthory de Ecsed. Hata kama hujui jina hilo, basi kuna uwezekano kwamba umesikia hadithi kuhusu huzuni yake ya hadithi. Labda unafahamu kwamba ana heshima ya kutiliwa shaka ya kuwa muuaji wa kike mwenye uwezo...
  9. khomgodlove

    Haji Manara: Mo alitaka niwe balozi wa bidhaa zake badala ya Azam. Asema Mo anadai hapati faida ilhali jezi za Simba zimejaa matangazo yake

    Kuna cha kujifunza hapa mikataba mingi tunasaini kwa uchu wa pesa na njaa kali ukisoma kara nyingi nyingi unastukia kitu...
  10. khomgodlove

    Badirisha Pdf Kuwa word

    Kama bado hujajua kubairisha pdf kuwa word fuata Hatua hizi ni rahisi sana Note: Hakikisha una Microsoft 2013......2021
  11. khomgodlove

    Kwa wapenda muziki /waimba muziki

    Dogo Huyu ni hatari anatengeneza midundo mizuri sana kizuri ni kwamba anatemgeneza na kuuza kwa bei rahisi. Msikikize hapa moja ya mdundo wake kabisa Link hii hapa:
  12. khomgodlove

    Sally kafanana na Hamisa Mobetto

    Binti ambaye anajihusisha na mitinido. Na fasheni ukimuangalia vizuri kafanana sana na mwanamuziki mwana mitindo anasema anashangaa kwanni wanamfananisha na Hamisa misikilize hapa akihojiwa>>
  13. khomgodlove

    MTU MMOJA AMEMEZA KISU KISA MAZINGAOMBWE.

    Ulimwengu wa ajabu sana watu wanafanya maajabu pia ili kujipatia kipato, yawe ya kweli au ya uongo ilimradi tu wapate chochote mkononi kiende kinywani , sasa huyu jamaa nchi za wenzetu ameonesha akimeza kisu mitaani ili kufanya watu wafurahi na mazingaombwe yake zaidi nimekuekea link hapa.
  14. khomgodlove

    Salute ya alikiba inaenda kuvunja record?

    Salute aisee Huku harmonize Ana simulia kuna mchawi mmja alikuwepo kijijini sasa kila mmja alikuwa anataka kufundishwa uchawi ili waweze kuwakomesha watu wanaowachokoza ama kuwaudhi yeye ama wengine kwa kuwa fundisha siku moja yule mchawi ..... Link
  15. khomgodlove

    YANGA NA SIMBA WANADUMAZA MPIRA KWA IMANI HIZI

    Mpira bwana [emoji28][emoji28]
Back
Top Bottom