Recent content by khamsinda

  1. khamsinda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Baada ya Kufanya application 53, kuwa shortlisted mara 38, ku attend interviews 20 na mwisho kuingia Oral 3. Hatimaye leo hii nmeitwa Kazini.🙏🏽🙏🏽. Msikate Tamaa wakuu Niko mtaani mwaka wa 8 huu toka nimalize chuo.
  2. khamsinda

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu nasubiria kitu kama hili kutoka kwako leo
  3. khamsinda

    JamiiForums Tanzania Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka

    Ooh so ni lazima upate ya kwanza ndo uende hatua ya Pili?
  4. khamsinda

    JamiiForums Tanzania Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka

    Mkuu, huu Uzi mtamu Sana na utanisaidia sana. Napenda kuuliza Jambo..... Katika hizi scolarship ulizotuma nmeshaapply vyuo viwili hapa, Ila sijaelewa maana nna apply course kwanza, ukishapata course ndo wanakupa scolarship automatically au inakuwaje?
  5. khamsinda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wakuu, Kuna ishu inanisikitisha Sana naomba mnisaidie kulitolea ufafanuzi. Kuna lile kundi mwezi January 2023 lilifanikiwa kwenda Oral za TRA Ila halikupata nafasi, na baadae TRA wakajitoa utumishi. Sasa, hili kundi litakuwa database kweli?, Au Kuna mmojawapo ana ushuhuda wa mtu aliyekuwa katika...
  6. khamsinda

    JamiiForums Tanzania Invest in yourself through reading books

    hillz180@gmail.com
  7. khamsinda

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Boss wameshakulipa?
  8. khamsinda

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Boss wameshakulipa?
  9. khamsinda

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu hawa M LIPA inakuwaje nlituma hela yangu 1xBet toka juzi mpaka leo haijaingia na mpesa walishathibitisha
  10. khamsinda

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

    Mwanaume ana 34 + af hana mtoto [emoji848] Mbona changamoto hiyo dada mkubwa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. khamsinda

    JamiiForums Tanzania NATA STATIONARY

    Habari wakubwa zangu, Nimewaletea stationary ya kibabe zaidi ambayo inatoa huduma kwa bei nafuu kabisa sawa na bure. Tunatoa huduma zote za secretarial services kama vile printing, typing, binding lamination, copies na tunatengeneza business card. Pia tunasambaza [supply] files, rim papers, pen...
  12. khamsinda

    JamiiForums Tanzania Bao ngapi umewahi kupiga katika historia yako ya mapenzi?

    Bao 26.25.
  13. khamsinda

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Coutinho anatuma lini kwenye chama la tatu mzuka???
  14. khamsinda

    JamiiForums Tanzania Nauza mahindi, nina tani 34, nipo Dar

    Salamu wakuu, Mimi ni mkulima wa mahindi, nina tani 34 za mahindi na napatikana dar es salaam. Kilo nauza kwa sh.650. Napatikana dar es salaam. Ukihitaji ni pm tumalize biashara. Karibuni wakuu I need serious buyers
  15. khamsinda

    JamiiForums Tanzania Tazama video za youtube bila kuwasha data ( working 100%)

    Hamna mtu hapo
Back
Top Bottom