Tazama video za youtube bila kuwasha data ( working 100%)

Tazama video za youtube bila kuwasha data ( working 100%)

Naona Watu Wamesema Mengi Sana, Nimewaelewa Nyote Mliojaribu Kuniweka Sawa Kwa Lugha Iliyokuwa Nzuri. Ama Waliotumia lugha za KIHUNI, Mambo Hayaendi Hivyo Ndugu Zangu.

Kama Unaona Nimeenda Wrong, Ruksa kuniweka Sawa Kwa kauli zilizokuwa Nzuri.

Yote kwa Yote, Kumradhi Kwa Niliowakwaza.

KILA BINADAMU ANAKOSEA, NA MBORA WAO NI YULE ANAYETUBIA.
 
Data hapo itakuwa imetumka.kama kawaida tu. Video app inadownload caches na kuweka kwenye simu yako ndio maana ukizima unaendelea kuona video
 
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH

BismiLLaah, AlhamduliLLaah
In shaa Allaah, Leo Tutajuzana JINSI YA KUTAZAMA VIDEO ZA YOUTUBE BILA KUWASHA DATA.

MAHITAJI
1. SmartPhone
2. MBs Kadhaa.
3. App Ya YouTube Go

HATUA
1. Washa Data.
2. Ingia YouTube Go
3. Search Video Uitakayo, Ibofye.
4. Chagua Quality > PLAY
5. Ikianza Kuonesha, ZIMA DATA.
6. Mpaka Hapo Utakuwa Umefanikiwa Kutazama Video Za YouTube Bila Kuwasha Data.

Link Ya Ku-DownLoad YouTube Go, Ipo Kwenye Description Ya Video Hii (YouTube)

UNAWEZA UKAIPATA PLAYSTORE PIA.

NB:
1. UKIANGALIA KAMA DAKIKA 2-3 ITAKATA, SO ITAKUPASA UWASHE DATA, KISHA UZIME KAMA MWANZO.

App Ipo Kwenye MABORESHO.

WABILLAAHI TAWFIYQ

dahh uongo mtakatifu
 
Kabla hujaona video online lazima kwanza data zake ziwe dowloaded kwenye memory ya simu yako (buffering).

Ukizima internet buffering nayo haitoendelea, Hivyo video yako itaonyesha mpk pale buffering ilipoishia.

Ukiwasha tena Internet buffering itaendelea hivyo data za video yako zitaendelea kuingia kwenye memory ya simu yako na kufanya video yako iendelee kuonyesha.

Hivyo hakuna utofauti wa matumizi ya mb kati ya kuangalia online au kudownload video yote coz njia zote lazima zihusishe kudownload data.. Isipokuwa tu unapoongalia online data za video yako huifadhiwa kwa muda kwenye simu yako (temporarily)

Ukiona tu video yako online imeanza kuonyesha ujue tayari mb zishaliwa kabla hata haijaanza kuonyesha. Unachoangalia tu pale ni kumbukumbu iliyohifadhiwa kwenye simu yako
 
Ningekuwa Nahitaji Views Sidhani Kama Ningeweza Bayana Namna inavyofanya Kazi.

Kisha Hii App ni ya YouTube Wenyewe, Cheki Walivyosema Hapo
693fb6b9de2fc571e298136abb66a4a2.jpg
hii si ndio ile ya kusave halafu unakuja kuangalia offline??? hapo unakua umesha download na bundle limeliwa bila shida... lol
 
TITLE : Tazama video za youtube bila kuwasha data ( working 100%)

Hatua ya Kwanza : Washa Data.

Duuu.. kazi ipo haha, kiku kingine pia mtu akikuambia siku zote kuwa hii ni 100%.. huwa sio kweli.
 
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH

BismiLLaah, AlhamduliLLaah
In shaa Allaah, Leo Tutajuzana JINSI YA KUTAZAMA VIDEO ZA YOUTUBE BILA KUWASHA DATA.

MAHITAJI
1. SmartPhone
2. MBs Kadhaa.
3. App Ya YouTube Go

HATUA
1. Washa Data.
2. Ingia YouTube Go
3. Search Video Uitakayo, Ibofye.
4. Chagua Quality > PLAY
5. Ikianza Kuonesha, ZIMA DATA.
6. Mpaka Hapo Utakuwa Umefanikiwa Kutazama Video Za YouTube Bila Kuwasha Data.

NB:
1. UKIANGALIA KAMA DAKIKA 2-3 ITAKATA, SO ITAKUPASA UWASHE DATA, KISHA UZIME KAMA MWANZO.

App Ipo Kwenye MABORESHO.

WABILLAAHI TAWFIYQ

Hakuna la ajabu hapa
 
Ngoja niendelee kumuomba mungu ili Magu aachie kidogo..mana vijana wanabuni visivyobunika
 
Hii hata mi huwa nafanya kwa simu yangu, haiihitaji App kabisa
 
ni yale yale tu buffering lazma ifanyike na mb zitaliwa tu
 
Naona Watu Wamesema Mengi Sana, Nimewaelewa Nyote Mliojaribu Kuniweka Sawa Kwa Lugha Iliyokuwa Nzuri. Ama Waliotumia lugha za KIHUNI, Mambo Hayaendi Hivyo Ndugu Zangu.

Kama Unaona Nimeenda Wrong, Ruksa kuniweka Sawa Kwa kauli zilizokuwa Nzuri.

Yote kwa Yote, Kumradhi Kwa Niliowakwaza.

KILA BINADAMU ANAKOSEA, NA MBORA WAO NI YULE ANAYETUBIA.
Mkuu usivunjike moyo sisi wenyew wa Tanzania hatupendan kila mtu anajifany much know ww ukipa trick zingine tupia watu tutakusupport watu hawajifunz kwa chief mkwawa jamaa unapokosea anakuelekez lakn co kukutukana sasa nimesoma comments za watu humu baada ya kutumia lugha nzur mtu anatumia lugha chafu so usikate tamaa tupo pamoja na ww, kuna watu wajuaj mbele ya wajuaj kumbe hwana lolote tupo na ww mkuu
 
Back
Top Bottom