Nauza mahindi, nina tani 34, nipo Dar

khamsinda

Senior Member
Jul 26, 2016
107
71
Salamu wakuu,
Mimi ni mkulima wa mahindi, nina tani 34 za mahindi na napatikana dar es salaam.
Kilo nauza kwa sh.650.
Napatikana dar es salaam. Ukihitaji ni pm tumalize biashara.
Karibuni wakuu
I need serious buyers
 
kilo ya unga sh 600 manzese yote mashineni za kusaga.sasa hapo sijui inakuwaje...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom