Pianikumbukwe. Timua Dar moro imesogezwa moro malotopora. Kwa kinapigwa mande kipande hiçho. Kitaisha ndani ya musa mfupi sana. Mahandaki ndio yalikuwa yanachelewesha kazinkuenda polepole
Nimekuwa nikiangalia mechi za mpira wa miguu za tanzania kupitia king'amuzi cha azam kwenye Smat TV. Niliangalia mechia ya yanga na simba ya tarehe 12 July 2020 na mechi ya Yanga na Singida ya tarehe 15 July 2020.
Zote zinaubora mbovu kabisa. Sijawahi ona obora wa hovyo kama kwenye picha za...
Tusisahsu kuwa na condom inatengenezwa na plastic. Kutumia nalo linaweza kuwa kosa kwa hiyo angalia usije ukakutwa nayo
Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app
Kuna haja ya kuangalia uwezekano wa kutumia umeme badala ya diesel. Kama utapatikana umeme wa SGR basi na TAZARA Iwekewe umeme nayo kuondoa kupelea pesa nje ya nchi za kununua mafuta.
Pia lazima ujue hiyo pesa unayopata ni mkopo utakalipwa na kitu gani?, sio huo mshahara ndio utakalipa huo mkopo?.
Fanya biashara ukiwa kazini. Na katika hiyo pesa chukua silimia 25 ndio uwnze hiuo biashara kilichobakia kiwe kipo kuangalia uimara wa hiyo biashara, na utakuwa ukiongeza mtaji...
Kama sikosei jamani, damu huwekwa kwenye jokofu kwa ajili ya kutunzwa, sasa itakapokuwa inasafirishwa angani, hili swala la joto maalumu litakuwaje, hebu tujuzane kidogo.
Hakuna kinga ya kutomshiktaki aliyewahi kuwa rais, ipo kinga ya kutomshitaki rais tu. Kasomeni katiba, muachieni rais wetu mstaafu bw. JK. Ametufanyia mengi mazuri na ameweka misingi mizuri ya aliyeingia kuiendeleza. Mapungufu yaliyojiyokeza kipindi chake, aliyeingia atayarekebisha ili Tusonge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.