Salama Condom Mbona hazipo Madukani?

Salama Condom Mbona hazipo Madukani?

Tarehe ya ukomo wa mifuko ya plastic ipo karibu. Hivyo nawo wamesitisha uzalishaji kuendana na amri.
 
Mkuu mwisho wa matumizi wa mifuko ya rambo ni june jiwekee akiba ili ikufae wakati ndomu hazipo
 
Kwa Kweli Kondomu zimekuwa ghali Sana sisi Wanandoa tunatumia 10000 kwa wiki ili kufanya tendo la ndoa... Dah!
 
Durex wako kwenye gemu nadhani ni zaidi ya miaka 50. Ndio best. Halafu Rough Rider sio mbaya pia. Condom zimeadimika kwa sababu misaada imesitishwa. Waliokuwa wanazifadhili ni USAID, HIVOS, na GLOBAL Aid pamoja na mashirika mengine yaliyokuwa yanasaidia afya. Sasa misaada hiyo imesitishwa. Hata ARVs nadhani zitaanza kupungua pamoja na ile misaada iliyokuwa inatolewa kwa ajili ya elimu ya msingi. Lakini kwa ukosefu huu wa kondom, tutarajie maambukizi makubwa sana ya HIV baada ya 2020. Fanya bidii ujinyime au upunguze hizo "shughuli za kijamii" (yaani kujamiiana).
 
Wakuu naulizia hizi condom pendwa ambazo zipo very effective na bei yake wanyonge wengi wanaimudu. Nimezitafuta sasa niko phamarcy ya tano naona hola. Je mzalishaji/msambazaji amebadili biashara, wale wenzangu na mm mmemrejea mola wenu au ni nn kinapelekea ikaadimika sana madukani?

View attachment 1100816
Mifuko ya Plastic imepigwa marufuku Mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom