Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,761
- 3,510
Nyinda iko poa sana mkuuNyinda classic ya raskazone ndo hua nafikia siku zote kumetulia sana na huduma zake nzur numerud last week tu nilikua huko
Nyinda iko poa sana mkuuNyinda classic ya raskazone ndo hua nafikia siku zote kumetulia sana na huduma zake nzur numerud last week tu nilikua huko
Ndo hiyo b k lodgeKama unataka sehemu tulivu nenda Pongwe kuna lodge imetulia sana kama 1 km toka main road.
Pale sio aseeBK lodge pale rosmini? hapana!
Ndo hiyo b k lodge[/QUOTE
Hapana hii inaitwa Pongwe city lodge ipo mtaa wa Sanawari.
Kuna majestic gest ipo barabara 4 kwa barabara jamaa. Ndio hapo nahisi alimaanisha.Mkuu nakumbuka hapo tulikuwa tunatazama cenema miaka ya zamani
Kuna majestic gest ipo barabara 4 kwa barabara jamaa. Ndio hapo nahisi alimaanisha.