Recent content by KGM

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mchungaji apigwa na wananchi wa Kigoma kwa kuzuia waganga wa kienyeji "Kamchape" wasiingie eneo la kanisa kutafuta uchawi

    Kigoma Kigoma Kigoma. Tatizo kubwa linalosumbua Ni wivu miongoni mwa wananchi. Huwasingizia wenzao Ni wachawi Kwa kuwa wana maenseleo kuwazidi hivyo hula njama Na kuwaleta Kamchape ili wawadhalilishe wenzao. Kamchape Kwa kuelewa udhaifu huo Wa wanachi huwaibia wanachi pesa mifugo n.k Kwa ajili...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nani alisema SGR iende Mwanza na sio Kigoma kwanza?

    Wewe ni mwongo na hakuna unachokijua . Umeandika kana kwamba kgm haipitishi mizigo yoyote kwenda Congo. Fanya homework yako vzr
  3. K

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Huyu Salah anatakiwa akalie Benchi, anaivuruga Timu
  4. K

    JamiiForums Tanzania CUF ilikuwa na mgogoro kabla ya UKAWA

    Kuna Vitu huwez kukaa ukasamee, ebu twambie nini nia ya lipumba kukiacha chama katika ile mda wa kampeni pamoja na kupigiwa magoti sana. Hivo unaweza kudharau nguvu ya lowasa katika ushindi wa SAKAYA. Hivo ni kweli huoni ni namna gani Lipumba anatumika, Harafu eti wakae meza moja, ili iwe nini.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nakutahadharisha Mh. Ndugulile, mbunge wa Kigamboni

  6. K

    JamiiForums Tanzania Mirathi wake wawili

    Nimeanza kupata mwanga,. Sasa nini wanachoweza kupata
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mirathi wake wawili

    So ndo kusema hawa watoto wa bi mdogo hawatakiwi kupata chochote??
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mirathi wake wawili

    Amemplipia/amemtolea mahali na kuzaa naye watoto watatu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mirathi wake wawili

    Ni kweli kwamba bi mdogo hatambuliki kisheria ukishafunga ndoa kanisani???
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mirathi wake wawili

    Sheria unasema juu ya swala hili. Ni kweli kwamba Mke mdogo hatambuliki kisheria kwa MTU aliyefunga ndoa kanisani???? UOTE="Mamndenyi, post: 16101976, member: 41512"] Huyo bi mdogo ndo chanzo cha mke mkubwa kutimka; Wana familia mlitakiwa msuluhishe hilo wakati kaka yenu akiwa hai; Hata wakati...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mirathi wake wawili

    Naomba ufafanuzi wa mirathi ya wake ewawili. Nina kaka yangu aliyefariki miaka miwili iliyopita akiwa na wake wawili. Mke wa kwanza alifunga naye ndoa kanisani na amezaa naye watoto wanne na Mke wa pili amezaa alimtolea mahali ya kimila na amezaa naye watoto watatu. Wakati anafariki Mke wake wa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mtoto kutopata choo

    Wanajamii forums naombeni msaada. Nina mtoto wa miezi miwili hapati choo. Tatizo lake lilianza akiwa na wiki kama mbili choo akawa hapati ingawa mwanzoni alikuwa akipata choo vizuri tu. Anaenda mpaka siku saba hivo tunalazimika 'Kumuinika' ili apate choo na kinatoka choo kingi sana. Mtoto huyu...
  13. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    amina na migiro wamejitoa? naona magufuli anaonekana kama ameshashinda na wanawake hawa hawaoneshwi kwenye camera kabisa
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    amina na migiro wamejitoa? naona magufuli anaonekana kama ameshashinda?
Back
Top Bottom