Mkasa wa kusikitisha Dodoma: Msaidizi wa kazi anyanyaswa na mwajiri wake, mtoto wake mchanga afungiwa ndani ya kabati kwa miezi 6

Hizi habari zinasikitisha,ila niliposoma na kufuatilia vyombo vy ahabari nilibaini kuna kusoro...!Waandishi waliandika habari za upande mmoja.Kuna maelezo ya huyo binti yaliongeza//yaliongezwa chumvi ili kunogesha habari!
 
Kwahiyo alikuwa anafungiwa kwenye friji au? Maana kwa afya ile lazima alikosa malezi bora.
 
Sijui ni kwanini wasichana wa kazi huwa siwaamini amini huwa ni waongo sana.

Mtoto mchanga afungiwe kabatini toka asubuhi hadi saa 8 usiku halafu umkute mzima?

Mwajiri ana roho mbaya ila akamruhusu akae na mimba yake mmmh natamani nisikie upande wa pili
 
Hakuna haja ya kusikia upande wa pili..Huyo beki 3 ni muongoo sanaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui ni kwanini wasichana wa kazi huwa siwaamini amini huwa ni waongo sana.

Mtoto mchanga afungiwe kabatini toka asubuhi hadi saa 8 usiku halafu umkute mzima?

Mwajiri ana roho mbaya ila akamruhusu akae na mimba yake mmmh natamani nisikie upande wa pili
Vinafiki sana hivi vitoto vya kazi!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni msichana wa miaka 15,bado mdogo,hajui kudanganya..lakini huyo mtoto afya yake??!!
 
Hua nnaumia sana nikisikia au kuona mwanamke anateswa iwe kwa sababu yoyote ile.

Maendeleo hayana chama
 
Back
Top Bottom