CUF ilikuwa na mgogoro kabla ya UKAWA

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,229
116,840
Kuna kitu hakizungumzwi sana

ukweli ni kuwa CUF walikuwa na mgogoro wa chini chini wa siku nyingi
kuhusu CUF Zanzibar na CUF bara

UKAWA imetumka tu kuongeza mgogoro hasa kwa CUF bara
kuona CUF Zanzibar wanapora madaraka yoote
Lipumba kaona tu a loop hole la kuwa relevant na kupiga pesa
now kutoka CCM

Solution ni CUF Zanzibar wakubali tu kuwa kuna mgogoro
na wawe ready kuutatua..kuliko kudai tu ni Lipumba ndo mwenye matatizo

Lipumba anapataje support za hadi wabunge?au mtu kama Mnyaa?

tatizo la CUF linazidi kukua now lakini busara ikitumka linaweza kuisha
 
Wise advice ....tujifunze kudeal na kiini cha matatizo yetu ...na kuacha kuishi kwa matukio ....hatupendi kuchimba vitu wala kutunza historia/ kumbukumbu ili baadae zitufunze ...
 
Wise advice ....tujifunze kudeal na kiini cha matatizo yetu ...na kuacha kuishi kwa matukio ....hatupendi kuchimba vitu wala kutunza historia/ kumbukumbu ili baadae zitufunze ...

Seif na Lipumba wakikaa siku moja tu yanaisha haya
 
CUF na wapinzani kwa ujumla wanazidi kudhihirisha kuwa kwamba [1] ni watu wasio na maanani kiasi cha kupewa madaraka ya kuongoza nchi na [2] bado wapo katika hatua ya maumivu ya ukuaji.

Hivi kwa mfano Maalim angekuwa ndo rais kule Zanzibar, ingekuwaje sasa hivi? Kuhoji huku hakuhalalishi figisu za CCM dhidi yake lakini pia figisu hizo zisiwe sababu ya kufumbia macho uwezo mdogo wa hawa wapinzani.

Upinzani hasa Tanzania ni kupiga kelele na kula ruzuku
mengine yote porojo tu
 
Seif na Lipumba wakikaa siku moja tu yanaisha haya

Mkuu;
Lipumba anatoka wapi huku CUF? Si alijiuzulu mwenyewe kabla ya uchaguzi akidhani kuwa Chama kingeangukia pua kwenye uchaguzi?? Matokeo si mwayajua?? Sasa katoka wapi?? Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe.
Propesa angejiondokea aende zake Rwanda aachane na siasa hizi zinampaka matope.
 
Unamjua Magdalena Sakaya?
Habibu Mnyaa?
Kambaya?

mbona hao wote wanamtambua Lipumba?
 
Siasa za Tanzania zinatia kinyaa.

Bila Ukawa, CUF ingekuwa juu ya mawe sahivi.
UKAWA haikua sababu ya ushindi CUF bali ujenzi wa chama hicho kabla ya UKAWA.
Kama ingelikua sababu ni UKAWA nafikiri NLD na NCCR walikuwepo pia kwenye UKAWA ila walipoteza zaidi.
CUF waumalize mgogoro wao la sihivyo chama chao kitaelekea ukingoni huku bara
 
Exactly...

Unajua kuna mambo mengine si ya kuyaweka hadharani.

Hivi kwa mfano unadhani CCM huwa hawakosani? Wanakosana sana na kutofautiana lakini ni nadra sana kuona viongozi wao waandamizi wakikwazana hadharani.

Huwa wanayamaliza nyuma ya pazia huko.

Lakini hawa wapinzani....hahaaa....so disappointing.

Kuna Vitu huwez kukaa ukasamee, ebu twambie nini nia ya lipumba kukiacha chama katika ile mda wa kampeni pamoja na kupigiwa magoti sana. Hivo unaweza kudharau nguvu ya lowasa katika ushindi wa SAKAYA.
Hivo ni kweli huoni ni namna gani Lipumba anatumika, Harafu eti wakae meza moja, ili iwe nini.
 
hoja ya upinzani kukosa mwelekeo na wabinafsi ni dhaifu mnoo..

nitarudi kufafanua
 
Seif na Lipumba wakikaa siku moja tu yanaisha haya
Mbowe na vijana wake ndio wanataka yasiishe haya ili wabaki wao kama chama dume cha upinzani na waendelee kutafuna ruzuku kwa raha zao,hilo Maalimu halioni kwani siku zinavyozidi kwenda Maalim anakuwa sawa na joka la Kibisa,hebu angalie hivi sasa kuna ukawa kweli?NLD imekufa na Makaidi wake,NCCR sijui imebaki Vunjo na Mbatia wake sijui kapotelea wapi siku hizi,CUF ndio imekuwa nusu mkate ,Chadema ndio wanazidi kuongeza kuni kwani vita vya panzi furaha ya kunguru chadema
 
kama wapinzani hawawezi kukaa meza moja na kutatua migogoro yao waache kukilaumu chama tawala pale kinapokataa kukaa nao meza moja. Seif na Lipumba wana tofauti ila ccm na chadema ndio wanakomalia huu mgogoro usiendelee kwa manufaa yao binafsi
 
Unamjua Magdalena Sakaya?
Habibu Mnyaa?
Kambaya?

mbona hao wote wanamtambua Lipumba?
The Boss na wewe usijifanye kutokujua siasa za Tanzania. Isingekuwa serikali Lipumba na kundi lake wangekuwa wako kwenye mawe sasa hivi. Kila kitu anachofanya Lipumba ni maelekezo kutoka serikalini. Mpaka mawakili wanaomtetea wanalipwa na serikali.
 
Hiii nchi ya ajabu kwelikweli, mkitofautiana mawazo unageuka msaliti! Hizi ni fikra potofu na bila kukubali changamoto hatutaendelea. lazima ifike mahali tukubaliane kutokukubaliana ili tofauti ziwekwe kando na matatizo ya msingi yatatuliwe, unless tutaendelea kuwa wapinzani milele
 
Back
Top Bottom