nyani jike
Senior Member
- Feb 23, 2016
- 176
- 223
Wananchi wa kigamboni hatujui unaishi wapi? Jimboni huonekani, jimbo lina matatizo lukuki.
Hivi una taarifa wiki mbili zilizopita nini kilitokea Kigamboni? Hivi jamii za Kigamboni unajua wana matatizo gani?
Achana na masuala yako ya viwanja unaloliongelea miaka 20 kelele tu.Naongelea changamoto za kimaisha kwa ujumla.Naona umekaa kama ulilazimishwa kuwa mbunge, huonekani kwenye maafa ya wananchi unatuma watu tu sijui tunanuka wananchi?
Lucy mbunge wa viti maalamu nimejifunza vitu vingi kwako mwanzo na wewe ulivyokuwa unapita nyumba kwa nyumba kutuomba kura tukajua utakuwa na roho ya kimama.Ubunge wako wa viti maalum umenifanya nikujue. Je, tukikupa Undugulile utatumaliza kabisa wewe kazi yako ni kukimbia hivyo na chama sijui kama unawinda muda wote huna muda ungetakiwa kipindi hiki uwe mfano bora kwa wanawake jimboni kwako kuprove wrongs za Ndugulile.
Nawatahadharisha tu furahini uroda wa bungeni ila jueni kipindi kinachokuja mtaangalia bunge kwenye television. Makadirio ya bajeti na hali za wananchi wenu mnazifahamu vipi? How do you participate in community activity as a leaders?
Ndugulile jitathmini unachowafanyia wananchi wa Kigamboni kinatosha na watakukumbuka kwa lipi?
Nitakurudia baada ya 2 weeks, nipo kwenye uchunguzi.