Recent content by Kesiman9

  1. Kesiman9

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    OK!
  2. Kesiman9

    JamiiForums Tanzania Huu mdahalo lengo ni nini? Mdahalo unaitwa “Jesus and Mohammed”

    Swali zuri, Naomba TCRA waje watujibu Maana Kila dini inatakiwa idili na waumini wake na sio kupambanisha watu wao wanaowaamini "KWA LENGO GANI" Haya mambo ya kijinga tumeona yakifanyika huko kwa wenzetu tafadhali msituletee huku... 'Walioruhusu hili naomba wajitafakari tena au ikibidi...
  3. Kesiman9

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Innocent Killer (The Revenge)

    Hongera
  4. Kesiman9

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya Viongozi wa Dini Wanataka kumdhoofisha na kumpa hofu Rais Samia

    Kweli "tamko" limeuma sana[emoji16][emoji16][emoji16] Poleni VP ww kama muumini mwenzangu unashauri nn? mkataba wa DPW urekebishwe au usirekebishwe?
  5. Kesiman9

    JamiiForums Tanzania Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Kweli bana![emoji16][emoji16]kumbe tunaishi na watu wenye stress zao Leo ndo wamepata pa kuzitolea ni Bora tuwajue....
  6. Kesiman9

    JamiiForums Tanzania Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Mtoa mada, angekuwa ame make sense kama angetoa mada hii kabla ya tamko la TEC Lakini na yeye ni walewale wafia dini kama wenzake wanavyorusha povu humu ndani.. Mara ohoo wagalitia wana roho mbaya Wanaacha issue ya msingi wanakimbilia kwenye udini shame on u all na ninadhani aliyewaachia hiyo...
  7. Kesiman9

    JamiiForums Tanzania Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Unaonaje tukashirikiana kwanza kupiga DPW chini halafu ndo tuje kwenye hiyo hoja yako ya TEC? [emoji847]
  8. Kesiman9

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa cha Kweli: Sitasahau nilivyopendwa na mchawi nikaishia kurogwa

    nice
  9. Kesiman9

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Mundindi Nije Arusha,Kilomanjaro au Dodoma Idara msingi elimu maalum
  10. Kesiman9

    JamiiForums Tanzania Unasikiliza wimbo gani muda huu?

    Redeem song- Bob Marley
  11. Kesiman9

    JamiiForums Tanzania Hongera Jeshi la Zimamoto kwa mikwara

    Huo ndo uhalisia wa nchi yetu [emoji1787]
  12. Kesiman9

    JamiiForums Tanzania BAWACHA: Spika Ndugai kuita barua rasmi kipeperushi ni kiburi cha madaraka. Amekuwa Mtetezi wa wanawake kuanzia lini?

    Kweli Jamaa anaringa utadhani yuko mbinguni Anamtupia Nape madongo halafu anamwambia haina haja ya kujieleza Hapo hapo anamwombea Msamaha.... labda ule unabii unaweza ukatimia
  13. Kesiman9

    JamiiForums Tanzania Hamisi Jonathan John Mayage Vs Board of External Trade Civil Appeal No. 37 of 2009, CAT

    mwenye huo uamuzi Hamisi Jonathan John Mayage Vs Board of External Trade Civil Appeal No. 37 of 2009, CAT naomba anisaidie softcopy.
Back
Top Bottom