Nyani haoni kundule!!! Hapo Kenya kuna mji unaitwa KAKUMA, pale Kibosho kuna watu wanaitwa MBORO hayo majina yapo mpaka kwenye vyeti vya ubatizo kanisani na shuleni. Tunao akina Nguruwe, Komba, Mbawala, Mapunda, Tembo nk. Huko Visiwani kama alivyosema mwana JF mmoja ni vurugu tupu, Mchamba wima...