Recent content by KennedyMmari

  1. KennedyMmari

    #50MillionTrees: how young people are fighting deforestation in Tanzania

    It might be best known for its wildlife, but Tanzania is facing a growing number of environmental concerns and biodiversity in the country is under threat. Rapid deforestation means more than 370,000 hectares of forest are cleared every year for charcoal, firewood and lumber without a clear...
  2. KennedyMmari

    Amina Ally unaharibu kipindi cha Amplifier Clouds Fm

    Huu uongo. Meena alikuwa anafanya kazi EaTV na amekuwa na Clouds muda mrefu Sana.
  3. KennedyMmari

    Ndege mpya za serikali ziko njiani kuja

    Kwamba unahisi kufa kwa makampuni mengine ndo maendeleo ya taifa? Pathetic fool!
  4. KennedyMmari

    Urusi sasa kujikita Tanzania, yapanga kujenga mtambo wa Nyuklia Tanzania

    Pe People must have misunderstood the news. Russia is not intending to build a nuclear reactor for electricity or weapons but rather a nuclear reactor for scientific research including medical purposes.
  5. KennedyMmari

    Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

    Huu Mjadala ni wa moto sana. Ushauri wangu ni watu wajadili bila mihemko, hisia na mioyo, wajadili kwa weledi, ufikiri na umaridadi. Ninafuatilia. Kudos to njano 5
  6. KennedyMmari

    Ninatafuta slim laptop zenye 13inches

    Habari wanajamvi, ninatafuta slim laptop yenye 13 inches. Specs; at least 500 HDD, 4 GB RAM Brand: HP, Dell, Samsung, Asus or any other reputable brand NB: Iwe slim, iwe na uzito usiozidi kilo 1.5 na muuzaji nitamlipa kwa kumfikia alipo, iwe ni mpya au used. Anayeamini ana fair deal anitumie...
  7. KennedyMmari

    Natafuta tv 32 inches, samsung au lg

    Habari wanajamvi, natafuta Tv 32 inches original Samsung au LG ka affordable price. Pia natafuta housing ya Samsung Laptop NP300E5V Nitumie Picha WhatsApp 0719579733 tunegotiate price kama ni negotiable.. Sitaki shipping...nakuja physically ilipo (Dar)
  8. KennedyMmari

    Waraka wa watoto wa mafukara kwa bodi ya mikopo ya elimu ya juu nchini (heslb)

    Ndugu zangu maofisa,waasibu, mameneja na wakurugenzi wa bodi ya mikopo ya Elimu ya juu nchini Tanzania (HESLB), poleni sana kwa kazi nzito mnayoifanya maana nimeota ndoto kuwa mara baada ya timu ya taifa kushindwa kufanya vizuri mmeazimia kulisaidia taifa katika kitengo hicho na ndoto inaonesha...
  9. KennedyMmari

    Natafuta housing ya laptop ya samsung

    Ndg Wanajamvi, Sijui kama laptop huwa zina housing. Mimi natafuta housing ya Samsung Laptop 16 Inches yenye rangi ya nyeusi. Fundi yeyote aliyo nayo au kama unamjua aliyenayo anitumie picha Whatsapp kwenye namba 0719579733
  10. KennedyMmari

    Natafuta housing ya samsung laptop

    Ndugu Wanajamvi, Sijui kama laptop huwa zina housing. Mimi natafuta housing ya Samsung Laptop 16 Inches yenye rangi ya nyeusi. Fundi yeyote aliyo nayo au kama unamjua aliyenayo anitumie picha Whatsapp kwenye namba 0719579733
  11. KennedyMmari

    Marando, where are you?

    Mzee yupo salama, amesharudi Tanzania na yupo nyumbani amepumzika ili azidi kupata nguu zaidi. Hizi ni taarifa za uhakika kutoka kwa watu wa kuaminika.
  12. KennedyMmari

    Waijua nchi ndogo ya Lebanon ndani ya Tanzania?

    Wewe sio mjuaji? Umejuaje kuwa hakuna fasishi hapo?
Back
Top Bottom