Wewe kama sio Gunners basi Red Devils,Conte katika msimu wake wa kwanza EPL amekuwa champion na mind u " a coach is hired to be fired" nyie endeleeni kuwa wavumilivu tuuuu!!!!!
Kwa mtu yeyote makini, mfuatiliaji wa masuala ya biashara za kimataifa,hili lilitarajiwa.Ila kwa wasomi wa mitandao ya udaku limekuwa jambo la kustaajabisha.Hawa jamaa wako smart sanaaaa!!! wanajua kipi cha kufanya,wakati gani,kwa mbinu ipi etc.So far tusiweke matarajio makubwa sana kuwa...
"Ada ya mja-------" na kuomba RADHI ndo darja ya juu kabisa ya MUUNGWANA, kama kweli Mkuu ametambua makosa yaliyotendwa na watangulizi wake,basi asione aibu kuwaomba RADHI wale woteeee! ambao walitukanwa,kuzomewa na kufanyiwa dhihaka na makada wa chama chake pindi walipokuwa wanatahadharishwa...
Too late bro,walishauriwa wakapuuzia ,acha tusubiri tuone kama kweli Mh atakuwa na guts za ku-defuse hili bomb.Walau ameonyesha uthubutu but he has a long way to go and mind u this seems to be a one man war.
Utotoni tulikuwa na kamchezo ka kuwinda vicheche.Vitendea kazi vilikuwa mbwa,rungu na vibuyu vya maji.Mara kwa mara zoezi hili tulikuwa tukilifanya pale kuku wetu walipokuwa wanashambuliwa na vinyama hivi.Tulipokuwa tunaondoka kwenda mawindoni kila mmoja lengo lilikuwa kuwatokomeza kabisa...
Mpumbavu hulaumu alipoangukia!!! Sio wapi alipojikwaa.Tatizo hapa ni mikataba mibovu au wale wanaowakumbusha wapi mlipokosea? Once this forum walked the talk, but nowadays its the other way round from "home of great thinkers" to the homes of total vilaza!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.