Recent content by Kembamba

  1. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mashine ya kusaga na kukoboa nafaka- Fahamu bei zake, uendeshaji wa biashara hii pamoja na faida na hasara zake

    Hapa itategemea mahindi umenunuaje na umeyaprocess vp,ila ngoja wajuzi waje....[emoji120] Sent from my M2010J19SG using JamiiForums mobile app
  2. K

    JamiiForums Tanzania Workshop ya kutengeneza pikipiki

    Aina gani ya Pikipiki Bajaj,Boxer au Guta?
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafanyiwa sexual harassment na msichana wangu wa kazi

    Bujibuji, Siamini yaani wewe kabisa unasema hayo!!👀👀
  4. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mashine ya kusaga na kukoboa nafaka- Fahamu bei zake, uendeshaji wa biashara hii pamoja na faida na hasara zake

    Wazoefu wa hii biashara tafadhalini tupeni mchanganuo wa gharama za uendeshaji na faida. Najua faida si kubwa kiviile ila si mbaya mkatupatia maelezo yakinifu ili tusiwe tunabahatisha. Chonde chonde.....🙏🙏🙏
  5. K

    JamiiForums Tanzania Naomba nielezwe kuhusu biashara ya kuuza vipuri vya pikipiki

    Unaweza ndugu cha msingi ni mtaji tu uwe Konki kiaina na usijaribu sema nataka kufanya biashara mengine muachie MUNGU alishapanga yake kitambo.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Bei za kusafishia meno

    Kama ni ya kawaida sh?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine ya kusaga na kukoboa

    Kuhusu biashara hujaweka sawa jibu lako kama ni nzuri ama ina changamoto flan flan!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Senetor Vinick: Nchi za Afrika haziwezi endelea bila kupunguza kodi!

    Hapo hujaweka Service Levy, Leseni na TRA kwa kweli ni changamoto kubwa.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Dreamliner likachote Watalii Nairobi, Joberg 2 ZNZ&Kilimanjaro

    Injinia soma hiyoooo........ 😂
  10. K

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta mwanaume nimekutana na mwanamke msagaji akanitenda

    Kwa kuinamishwa na kuchokonolewa braza Ushapoteza Tunu ya Taifa a.k.a MALINDA 😬
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ugomvi!!!

    "NYEGE MBAYA KWELI" Mke na Mume waligombana,Mume akalala kitandani na Mke akalala chini, Mume akawa anajishika akisema "TULIA HUONI TUMEGOMBANA?" Mke akasema "TUMEGOMBANA SISI, SIO WAO, Mlete acheze na mwenzake ila ugomvi wetu uko pale pale" Eti kweli ugomvi utaendelea. au utaisha? USICHEKE...
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliza software yeyote hapa

    Biashara yangu ni ndogo kaka $750 ni ndefu kwangu hata hivyo nashukuru kwa ishirikiano👍
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliza software yeyote hapa

    Nahitaji software ya kuratibu mauzo dukani.
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bonge la series, kama unapenda chakula ya macho apa ndo pahala

    Ok mi nazitaka hizo series mwenye nazo ataje bei tufanye biz-nenga!! 0786264294
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye mabucha ya nguruwe hawauzi utumbo?

    Umesahau na nguvu za kiume pia 😂😂
Back
Top Bottom