Nafanyiwa sexual harassment na msichana wangu wa kazi

Kwani Mimi natakiwa kufanya mabaya, Mimi nikoje hadi niwe muovu?

Daah mzee Bujibuji heshima kwako. Mimi mtihani kama huo uliwahi kunitokea wakati wife akiwa mjamzito aisee nilifeli vibaya sanaa!! Hivi vitoto kwakweli sio viwatu vizuri hata kidogo maana mi ilifika kipindi mpaka wife akahisi kitu sema akakosa ushahidi, kuniuliza nikaruka futi 100. Kilichokuja kuniokoa ni kwamba kale kabinti hakakukaa sana kaliitwa kwao so kakasepa kabla mambo hayajaharibika na sisi tukatafuta beki tatu mwingine. Safari hii tukapata guluguja. Japo sasa tena lile guluguja limeondoka kimekuja kifaa kingine matata kupita maelezo. Sijajua itakuaje maombi yenu yanahitajika wakuu.
 
Back
Top Bottom