Kwanini kwenye mabucha ya nguruwe hawauzi utumbo?

Kwanini kwenye mabucha ya nguruwe hawauzi utumbo?

[Utumbo unaliwa mzee Tena safiii tuu ila malanyingi Utumbo hubaki na mchinjaji pale machinjoni.
Utumbo wanguluwe upo tofaut kidogo na Hao wa nyama wengine katika maandalizi Ata upikwaji wake.
Uku kwetu Utumbo wa kitimoto unaukuta kwenye vilabu vya pombe asilia ikiwa umeandaliwa na unakatiwa vipande kulingana nahitaji lako

Huo Utumbo unaliwa Lakin unawapenz wachache kwa kuwa sio salama sana kwa afyaa una minyoo yakutosha nilivo sikia Sina hakika KwakuA mm sio daktar wa mifugo
 
Hapa kuna kitu tujiulize kwa nini hakunaga supu ya kitmoto?jibu liko hivi pamoja na kuisifu nyama hiyo kuwa ni tamu ukweli ulivyo ukiandaa supu huwa chungu kama dawa sasa kwa nini iwe chungu?kifupi nyama hiyo haifai kwa matumizi ya binadamu nawashangaaa wanao kula.
 
Kama utumbo ni hatari kwa minyoo...na nyama yake pia haifai
 
Hapa kuna kitu tujiulize kwa nini hakunaga supu ya kitmoto?jibu liko hivi pamoja na kuisifu nyama hiyo kuwa ni tamu ukweli ulivyo ukiandaa supu huwa chungu kama dawa sasa kwa nini iwe chungu?kifupi nyama hiyo haifai kwa matumizi ya binadamu nawashangaaa wanao kula.
Huo ni uongo eti supu ya nguruwe chungu sema inamafuta mengi mno kuinywa unahitaji moyo mgumu nimeinywa Mara nyingi tu...we hiyo chungu uliinywa wapi?
 
ukiandaa supu huwa chungu kama dawa sasa kwa nini iwe chungu?
Hujawahi piga supu ya ngubi wewe kwa kweli...

Ile supu ni hatari..!

Tamu sana, ila tabu ni wese, ukipiga ile unaweza jikuta unatoka jasho mpaka unatundikiwa drip kwa kuishiwa maji![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1](kidding)

Ila jasho litakutoka sana, na kwa mahali kama Dar kwenye joto, muda wote unasweat unadhan nini kitatokea ukipiga hyo supu? Automatically, hutoipata hyo supu sehemu za joto....

Na utumbo unapigwa kama kawa, sema kuna zile bucha ambazo wanaroast pia nyama, ukienda pale utaukuta wa kutosha... Huwa unatengenezwa mpaka kitu kama local sausage, ndani mnatiwa kila kitu, kuanzia damu mpaka nyama za tumboni lain lain na maini na mapafu... Then kitu kinachemshwa taratibu kwenye moto mdogo (NI LAZIMA, moto ukiwa mkali utumbo unachanika kwa presha ya ndani yake, mana huwa unafungwa kila upande...)

Swali laja, umewah ona maini ya nguruwe yanauzwa? Au mapafu? Today ndo umejua vinapelekwaga wapi![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wee ushawahi ona wapi supu ya Utumbo wa Nguruweee????[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Unazinguaa...
Hujanielewa vixur we!nasema aina hii sehemu za nyama ya ngurue km utumbo kichwa na miguu huchukuliwa na mama ntile kwa matumiz mbalimbali km supu mtor n.k
Miguu hutumik sana kwa supu sio utumbo we wamkoa gani kwani
 
Utumbo wa nguruwe zamani ulikuwa unatumikw kutengenezea soseji maana kupata zile tube ilikuwa kazi sana.
 
Back
Top Bottom