mganga haagizi tembele,,,,,,,,MBAGALA TO POSTA
ushuzi bora wa mwaka haukauki harufu.........MBAGALA TO MBANDE
shuzi limepata mjambaji......MBAGALA TO MWEMBEKIUNO
habari zenu ndugu zangu wanajf!
Samahani wanajf kwa yeyote mwenye ujuzi na haya masuala ya satelite dishes, receiver na decoder nilikuwa naomba anishauri ipi ni bora na inauwezo wa kuonesha local channels, epl,movies za mbele etc. Nimewahi kununua ya strong hapo siku za nyuma lakini imekuwa ni...
ile ya dodoma si dstv ni huduma fulani ya cable tv network ambapo wale wasambazaji wanakuwa na access na free channels nyingi na wao wanazisambaza kwa customers ndo maana wale waliojiunga kwa hii huduma kwa mkoani dodoma utaona mpira wa epl wao wanaupata kupitia abudhabi sports channel...
unajua mi namlaumu sana shigongo na hivi vigazeti vyake vya udaku... watu wanaweza wakawa wanaumiza vichwa kumbe usikute hiyo stori imetengenezwa tuu ili wauze magazeti..... hakuna cha wameachana na wamerudiana...
Mkuu sijakupata hapa... Hapo kwenye tanduri unamaanisha kuwa tunatumia tandoori masala badala ya sindhi biryani masala au?? Semina kidogo ili jioni nizame kitchen
wote wawili ni wendawazimu tuu na its just the matter of growth cycle.... tatizo hapa hata hivi vigazeti vya shigongo vinakuwa vinawapa upromo sana.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.